Mshahara wa Oktoba bado tu?

Kwa hiyo mzee huwezi kufanya maamuzi binafsi kuhusu maisha yako hadi utumie akili za dada yako.
 
Na michango ya ndoa[emoji23]
Hapa nina Kadi 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] Michango kuanzia Elfu 40[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Tayari[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na michango ya ndoa[emoji23]
Mimi nimeacha kuchangia ndoa
Labda mtu anaumwa na nathibitisha kuwa kweli anadaiwa na Hospital

Lazma tujifunze kuwa na nidham ktk bajeti
Mfano, unaweza kuwa na take home ya laki 5 na unaweza kujenga Nyumba kwa hatua kwa kutumia mkopo

...laki 2 mkopo benki
...laki 1.5 matumz ya familia kama ipo
...laki 1 nauli
...elfu 50 amana ya dharura kila mwezi

Full stop
Kila mwezi

NB: Jitoe kwenye vyama vya Wafanyakazi

Achana kuchangia Mambo yasiyo na tija
 
Hela ya Bia je? Nyama?
 
Weitaa, nikopeshe balimi tatu hadi kesho jioni nakuletea hela yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…