Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Hivi wabunge wanalipwa ngapi wakuu? Inamaana wanamzidi?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapo kwa 'salary sleep' ndo umenikanganya kidogo jombaa. Ongeza karoyco kiasi tukuelewe basi. Ndo ule usingizi mnono unaompata mtu akishalipwa mshahara au?
kwani akionyesha salary slip ndio utaamini?
 
"No-nonsense" ni tofauti na "non sense" mkuu, hawajatukana hapo wala kudharau...
Jiongeze mkuu,hilo ni tusi kwa mwerevu lkn kama ni fa fa fa utaona still you're normal against them,.



Ni sawa na kuitwa wew usiye msenge njoo hapa,lazima ujiulize kulikuwa na unuhimu gani kutumia jina hilo kama si kudhanuriana tu,
 
Jiongeze mkuu,hilo ni tusi kwa mwerevu lkn kama ni fa fa fa utaona still you're normal against them,.



Ni sawa na kuitwa wew usiye ****** njoo hapa,lazima ujiulize kulikuwa na unuhimu gani kutumia jina hilo kama si kudhanuriana tu,
Acha kupotosha kama hujui lugha bora tu unyamaze, toa maana ya hilo neno achana na mihemiko ya kisiasa, deal na neno lenyewe utoe maanake kabla hujaingiza siasa.
 
Duh mkuu Mimi sio mwanasiasa,
Naona umekariri,nakuhurumia
 
Duh mkuu Mimi sio mwanasiasa,
Naona umekariri,nakuhurumia
Wewe ndo wa kuhurumiwa, umekaririshwa chuki, kuwa mtu akiandika hivyo amemanisha vingne,hii habari haijaandikwa na mtanzania kuwa aweke mihemiko ya kisiasa ndani yake, wangekuwa wameandika hawa wa kwetu hapo sawa...
 
Wewe ndo wa kuhurumiwa, umekaririshwa chuki, kuwa mtu akiandika hivyo amemanisha vingne,hii habari haijaandikwa na mtanzania kuwa aweke mihemiko ya kisiasa ndani yake, wangekuwa wameandika hawa wa kwetu hapo sawa...
We jamaa sikuelew hata,
Wapi mimi nimekosea hasa hadi kuni-undermine kiasi hiki?
Mi naona mapenzi yako ya kisiasa endelea nayo tu,BTW wanasayansi hatujuagi hizo blah blah
 
We jamaa sikuelew hata,
Wapi mimi nimekosea hasa hadi kuni-undermine kiasi hiki?
Mi naona mapenzi yako ya kisiasa endelea nayo tu,BTW wanasayansi hatujuagi hizo blah blah
Sijaongelea siasa sisi hapa tunadai mkuu atuwekee salary slip diyo siasa, wewe ndo unataka kulibadirisha hilo neno liwe la kisiasa wakati mwandishi hakumanisha hivyo, irudie hiyo habari tena hlf utwambie maana ya hilo neno bila kuweka siasa kwa tafsiri ya kiswahili otherwise peace n love mkuu...
 
Huo ni uongo mshahara wake ni zaidi ya 35 miilioni kwa mwezi au zaidi ya milioni 400 kwa mwaka. Huyu muongo anajulikana kwa uongo wake uliokithiri. Kipi kinachomshinda kuweka salary slip yake aliyoahidi hadharani? Acheni kumuamini huyu muongo wa kiwango cha Phd. Mshahara wake ni $192,000 kwa mwaka au sawa na $16,000 kwa mwezi times 2,200 sawa na 35.2 million kwa mwezi.

Below is a brief summary of 30 highest earning African Presidents:



Country Net pay per anum President
1 Cameroon US$610,000 Paul Biya
2 Morocco US$480,000 King Mohammed VI
3 South Africa US$272,000 Jacob Zuma
4 Tanzania US$192,000 Jakaya Kikwete
5 Algeria US$164,000 Abdel Aziz Bouteflika
6 Equatorial Guinea US$150,000 Theodore Nguema
7 Kenya US$132,000 Uhuru Kenyatta
8 Somalia US$120,000 Hassan Sheikh Mohamoud
9 Comoros US$115,000 Ikililou Dhoinine
10 Congo Republic US$110,000 Denis Sassou Nguesso
11 Namibia US$110,000 Hage Geingob
12 Zimbabwe US$108,000 Robert Mugabe
13 Mauritius US$104,838 Ameenah Gurib
14 Cote D’Ivoire US$100,000 Alassane Ouattara
15 Liberia US$90,000 Ellen Johnson Sirleaf
16 Rwanda US$85,000 Paul Kagame
17 Angola US$81,075 José Eduardo dos Santos
18 Ghana US$76,000 John Dramani Mahama
19 Malawi US$75,348 Peter Mutharika
20 Egypt US$72,000 Abdel Fattah el-Sisi
21 Nigeria US$70,000 Muhammadu Buhari
22 Mali US$69,609 Ibrahim Boubacar Keïta
23 Botswana US$66,713 Ian Khama
24 Gabon US$65,000 Ali Bongo Ondimba
25 Zambia US$56,000 Edgar Lungu
26 Dr.Congo US$52,97 Joseph Kabila
27 Swaziland US$52,128 Mswati III
28 Mozambique US$47,500 Filipe Nyusi
29 Ethiopia US$44,472 Mulatu Teshome
30 Lesotho US$36,000 Letsie III

Sasa huo wewe umeutoa wapi mkuu ikiwa salary slip ndio yenye majibu yenye uhakika?
 
Back
Top Bottom