Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Nawashangaa wanaoamini kwamba Magufuli analipwa milioni 9 kama mshahara. Well hata kama wanaamini, wamwambie ataje na marupurupu yake.
Nakuunga mkono, inawezekana ni huo au ni pungufu lkn marupu rupu yakawa mara 3 yake cha muhimu uwepo tume huru ya kupanga mishahara ya watumishi wa umma pmj na marupu rupu yao, cyo mtu kujisemea tu.
 
Mbowe akitaja bila salary slip unaamin, ila si Jpm, shame on u
Aliyejipendekeza kutaja wa kwake ni mkuu, siyo Mbowe, alianza kusema ataleta pay stubs zake tangu mwezi wa wa tatu, hivyo aweke ushahidi wake cyo maneno tupu, na isije ikawa marupu rupu ni mara 3 ya huo mshahara, hpo utakuwa siyo mshahara tena.. hlf siyo wote wapendao kujua ukweli ni wapinzani, you should note that too.
 
kama bombardier zinanunuliwa kimya kimya, madiwani na wabunge wanahongwa, pesa za miradi mbali mbali kulipwa moja kwa moja na executive, nk nk - kipi kitamzuia mtu kujilipa TSHS 100M na bado akadai anapata 9M??

Kweli kabisa M-mbabe.

Hizi ni propaganda nyepesi ambazo sasa zimekuwa sehemu ya Utawala wa Awamu ya 5.
 
Inamaana wabunge wanamshahara mkubwa kuliko mkulu!?
Mawaziri wanamshahara mkubwa kuliko mkulu!?
Waziri Mkuu kampita mshahara aliyemteuwa!?
This is another kind of joking!!!!?

Labda alikuwa anamaanisha mshahara wa mwenyekiti wa ccm
 
Huo ndio ukweli.umeze au uteme sisi haitusaidii.
Wewe hujui lakini unashabikia tu.

Ikiwa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2015 alikuwa anapokea mshahara U$ 192k kwa mwaka ambazo ni sawa na zaidi ya TZS 400m kwa mwaka, je ni lini Rais John Magufuli alijipunguzia?? Uthibitisho wangu huu hapa What African presidents are paid, and why it matters

Sasa wewe fanya uweke hapa uthibitisho wako kukanusha hiyo link hapo.

Kumbuka pia mwanzoni mwa utawala wakae aliahidi kuweka hadharani hati ya malipo ya mshahara wake (salary slip) lakini toka hapo ikawa ni hadithi kisha ikapotelea kusikojulikana.

Tunaposema hizi ni propaganda nyepesi huo ndio ukweli.
 
Tanzania President, John Pombe Magufuli has gone public with his pay in a televised speech to Association of Local Authorities as he emphasised the importance of anti-corruption drive in Tanzania.

African Review released figures three years of the salary of the then Tanzanian president. If the figures are anything to go by, Magufuli is earning around a quarter of what his predecessor Jakaya Kikwete was earning.

The no-nonsense president is earning Tanzanian shillings 9 million which is around Kenya shillings 400,000.

In Kenya, the Salaries and Remuneration Commission (SRC) reviewed the salaries of State officers in what was seen as a major pay-cut. In the new pay structure by SRC, the President of Kenya earns a monthly gross of Sh1.4million, which is Sh250, 000 less than what he earned before the pay cut.

Kenyan MCA’s earn KSh165, 000 however; this figure goes up owing to allowances from meetings organized by County Assembly committees. Some could do over Sh 500, 000 depending on the number of meetings attended.

Compared to what Maguli earns, a Kenyan County politician dwarfs the President’s monthly pay. We cannot even start talking about Kenyan Members of Parliament whose gross pay is currently Sh710, 000.

Source: SDE Kenya n KTN.
Sisi hatuna haja kujua anapokea mshahara kiasi gani yote hayo in danganya Toto tuweeni hapo marupu rupu take pocket money ambayo anatowa kwa watu au vikundi anavyopenda yeye mwenyewe bila auditing na nguvu alizonazo kikatiba kutoa pesa apendavyo hazina na kufanya matumizi bila kupitia bungeni ambako hao marais wengine hawana Uhuru huo ukitizama yote hayo huo mshahara co ishu ya kujadili hapa jf jukwaa LA watu wenye skill na maarifa.
 
Wewe hujui lakini unashabikia tu.

Ikiwa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2015 alikuwa anapokea mshahara U$ 192k kwa mwaka ambazo ni sawa na zaidi ya TZS 400m kwa mwaka, je ni lini Rais John Magufuli alijipunguzia?? Weka hapa uthibitisho wa hoja yako.

Kumbuka pia mwanzoni mwa utawala wakae aliahidi kuweka hadharani hati ya malipo ya mshahara wake (salary slip) lakini toka hapo ikawa ni hadithi kisha ikapotelea kusikojulikana.

Tunaposema hizi ni propaganda nyepesi huo ndio ukweli.
Sikuilewa vizuri comment yako mkuu.Naunga mkono hoja.
 
na nguvu alizonazo kikatiba kutoa pesa apendavyo hazina na kufanya matumizi bila kupitia bungeni.
Ebu weka hapa kifungu cha Katiba kinachompa hizo nguvu! Zaidi ya hivyo, ni udikteta uchwara tu.
 
hujaelewa maana ya no nonesense president rudi shule. maana yake ni rahisi asiyependa ujinga
Bas jamani msimsimange sana ameshawaelewa...... kwnz pengne ht wengne tumerudi kwny dictionary ndo tukarudi hapa kuendelea na uzi!
 
jamani huu Uzi upelekeni kule majukwaa mengine.

huku ni only heavy metal discussions.
maana nimeona jukwaa limevamiwa na wageni watupu ambao are not belonging to This sub forum for East Africa.
 
Back
Top Bottom