Nawashangaa wanaoamini kwamba Magufuli analipwa milioni 9 kama mshahara. Well hata kama wanaamini, wamwambie ataje na marupurupu yake.Lkn hatujaona salary slip, ndo kilikuwa kipimo chetu cha kuamini mkuu...
Nakuunga mkono, inawezekana ni huo au ni pungufu lkn marupu rupu yakawa mara 3 yake cha muhimu uwepo tume huru ya kupanga mishahara ya watumishi wa umma pmj na marupu rupu yao, cyo mtu kujisemea tu.Nawashangaa wanaoamini kwamba Magufuli analipwa milioni 9 kama mshahara. Well hata kama wanaamini, wamwambie ataje na marupurupu yake.
Mbowe akitaja bila salary slip unaamin, ila si Jpm, shame on uLkn hatujaona salary slip, ndo kilikuwa kipimo chetu cha kuamini mkuu...
Aliyejipendekeza kutaja wa kwake ni mkuu, siyo Mbowe, alianza kusema ataleta pay stubs zake tangu mwezi wa wa tatu, hivyo aweke ushahidi wake cyo maneno tupu, na isije ikawa marupu rupu ni mara 3 ya huo mshahara, hpo utakuwa siyo mshahara tena.. hlf siyo wote wapendao kujua ukweli ni wapinzani, you should note that too.Mbowe akitaja bila salary slip unaamin, ila si Jpm, shame on u
kama bombardier zinanunuliwa kimya kimya, madiwani na wabunge wanahongwa, pesa za miradi mbali mbali kulipwa moja kwa moja na executive, nk nk - kipi kitamzuia mtu kujilipa TSHS 100M na bado akadai anapata 9M??
Huo ndio ukweli.umeze au uteme sisi haitusaidii.Kweli kabisa M-mbabe.
Hizi ni propaganda nyepesi ambazo sasa zimekuwa sehemu ya Utawala wa Awamu ya 5.
Wewe hujui lakini unashabikia tu.Huo ndio ukweli.umeze au uteme sisi haitusaidii.
Sisi hatuna haja kujua anapokea mshahara kiasi gani yote hayo in danganya Toto tuweeni hapo marupu rupu take pocket money ambayo anatowa kwa watu au vikundi anavyopenda yeye mwenyewe bila auditing na nguvu alizonazo kikatiba kutoa pesa apendavyo hazina na kufanya matumizi bila kupitia bungeni ambako hao marais wengine hawana Uhuru huo ukitizama yote hayo huo mshahara co ishu ya kujadili hapa jf jukwaa LA watu wenye skill na maarifa.Tanzania President, John Pombe Magufuli has gone public with his pay in a televised speech to Association of Local Authorities as he emphasised the importance of anti-corruption drive in Tanzania.
African Review released figures three years of the salary of the then Tanzanian president. If the figures are anything to go by, Magufuli is earning around a quarter of what his predecessor Jakaya Kikwete was earning.
The no-nonsense president is earning Tanzanian shillings 9 million which is around Kenya shillings 400,000.
In Kenya, the Salaries and Remuneration Commission (SRC) reviewed the salaries of State officers in what was seen as a major pay-cut. In the new pay structure by SRC, the President of Kenya earns a monthly gross of Sh1.4million, which is Sh250, 000 less than what he earned before the pay cut.
Kenyan MCA’s earn KSh165, 000 however; this figure goes up owing to allowances from meetings organized by County Assembly committees. Some could do over Sh 500, 000 depending on the number of meetings attended.
Compared to what Maguli earns, a Kenyan County politician dwarfs the President’s monthly pay. We cannot even start talking about Kenyan Members of Parliament whose gross pay is currently Sh710, 000.
Source: SDE Kenya n KTN.
Sikuilewa vizuri comment yako mkuu.Naunga mkono hoja.Wewe hujui lakini unashabikia tu.
Ikiwa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2015 alikuwa anapokea mshahara U$ 192k kwa mwaka ambazo ni sawa na zaidi ya TZS 400m kwa mwaka, je ni lini Rais John Magufuli alijipunguzia?? Weka hapa uthibitisho wa hoja yako.
Kumbuka pia mwanzoni mwa utawala wakae aliahidi kuweka hadharani hati ya malipo ya mshahara wake (salary slip) lakini toka hapo ikawa ni hadithi kisha ikapotelea kusikojulikana.
Tunaposema hizi ni propaganda nyepesi huo ndio ukweli.
Ebu weka hapa kifungu cha Katiba kinachompa hizo nguvu! Zaidi ya hivyo, ni udikteta uchwara tu.na nguvu alizonazo kikatiba kutoa pesa apendavyo hazina na kufanya matumizi bila kupitia bungeni.
MmmhhhhEbu weka hapa kifungu cha Katiba kinachompa hizo nguvu! Zaidi ya hivyo, ni udikteta uchwara tu.
Mi mwenyewe siamini kama unajua maana ya neno rahisi ulioandika apohujaelewa maana ya no nonesense president rudi shule. maana yake ni rahisi asiyependa ujinga
Sante Big Bro kwa translation, siunajua kilikuja kwa meli!No-nonsense=asiyevumilia ujinga
IMAGINE!they call him "the no-nonsense president"
hahaaahaaa!
Bas jamani msimsimange sana ameshawaelewa...... kwnz pengne ht wengne tumerudi kwny dictionary ndo tukarudi hapa kuendelea na uzi!hujaelewa maana ya no nonesense president rudi shule. maana yake ni rahisi asiyependa ujinga