MY TAKE: Ikumbukwe kwamba uchaguzi wa Kenya ndio uchaguzi ghali zaidi duniani na kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi zenye deni la taifa kubwa zaidi Afrika.
Sasa nadhani tunajua wapi GDP ya Kenya inakokwenda kufanya kazi, zile nchi hisani zinazosaidia wakenya kwa kuwapa chakula cha msaada, ziendelee kufanya hivyo hadi wakenya watakapo jikomboa toka kwa hawa mabepari weusi. Tony254 dyfre Don YF Nicxie
Blah blah blah blah, ngoja nivute mbeta ya ulanzi wa asubuhi maana ni mtamu...uchaguzi wa Kenya ndio wa gharama kubwa..loooooo, hope's leo sio 1st April
Blah blah blah blah, ngoja nivute mbeta ya ulanzi wa asubuhi maana ni mtamu...uchaguzi wa Kenya ndio wa gharama kubwa..loooooo, hope's leo sio 1st April