Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Egypt na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Egypt na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Ikumbukwe kwamba uchaguzi wa Kenya ndio uchaguzi ghali zaidi duniani na kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi zenye deni la taifa kubwa zaidi Afrika.

Sasa nadhani tunajua wapi GDP ya Kenya inakokwenda kufanya kazi, zile nchi hisani zinazosaidia wakenya kwa kuwapa chakula cha msaada, ziendelee kufanya hivyo hadi wakenya watakapo jikomboa toka kwa hawa mabepari weusi.
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Blah blah blah blah, ngoja nivute mbeta ya ulanzi wa asubuhi maana ni mtamu...uchaguzi wa Kenya ndio wa gharama kubwa..loooooo, hope's leo sio 1st April
 
Back
Top Bottom