Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Jamani msianze sasa kuwachonganisha tena hawa watoto! Mnataka kuanza kuwachonganisha tena kama mnavyofanya kwa Diamond na Ali Kiba? Wewe ulitakiwa ufurahi kwamba kijana mwingine mtanzania mwenye kipato kikubwa amepatikana, kwa hiyo ni fahari kwa Taifa letu. Usianze tena kumponda Diamond ambaye ndiye alikuwa anongoxza na si Tanzania tu bali Afrika Mashariki na pengine hata beyond. Kama wewe wakati unasoma shuleni kuna wakati ulibahatika kuwa wa kwanza Darasani kwenu, utakubaliana kabisa na mimikuwa 'BECOMING NUMBER ONE IS EASIER THAN REMAINING NUMBER ONE! Kuwa mtu wa kwanza ukiwa unaongoza kwenye medani fulani, ni rahisi zaidi kuliko kuendelea kuwa wa kwanza ukiongoza kwenye medani hiyo, hiyo ni ngumu kidogo. Kwa hiyo Diamond kupitwa na Samatta siyo kosa na wala msiwashabikie katika namna ambayo itawasababisha wawe maadui, washabikieni katika namana ambayo itawafanya wawe marafiki wa karibu zaidi, na vijana mnatakiwa muone fahari kwamba vijana wenzenu wanaweza kujipatia kipato halali kikubwa na wakalipa kodi kwa Serikali yenu, kipato kikubwa cha kutuzidi hata sisi wazee wenye miaka 60+ ambao tunapata chini ya 1m kwa mwezi> Mbarikiwe vijana.Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii
Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..
90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.