Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Ukute Mama yako na Baba yako wanamchukia
Kwa chuki uliyonayo juu ya Platinumz, ninashawishika kuamini yafuatayo:-

1.Kwenu wote ni wanawake.
2.Kwenu wote mmewekewa vizibo kwenye pulu zenu ili kuzuia uharo kama huu uliomwaga hapa.
3.Kwenu wote wachawi.
4.Huenda ulishawahi kugegedwa na mond, akakudhulumu malipo yako.

Watu wasiokuwa na sifa hz nlzotaja hapo juu, hawawez kuwa na wivu, kama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahah Sio kila kitu mpaka u comment, kama vitu vingine hauvijui kuwa msomaji tu £ 600 ml per week unaijua vizuri kweli.
Nawe kama hujui kuwa tu msomaji. Akili yako inashindwa kupambanua mambo ya utani?
 
Hapa kazi tu,, endeleeni kufuatilia maisha ya wenzenu ilihali nyinyi mmepauka mifukoni ,fulishiiiiijijjjjjj
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..


90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.

Watu wote hawawezi kulingana hilo halimwondolei heshima mwingine
 
Back
Top Bottom