Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Mleta post ni choko yaani Tena choko haswaaa kila mmoja ananufaika kwa upande aliopo hatuko hapa kuleta ushindani mambo ya Diamond kuleta huku Kama alikugonga ni umama Tena fala kabisa
 
Ulaya ligi zote kwa wachezaji wa nje kodi ni zaidi ya 40%.

Kodi kwa ligi ya uingereza ni 45%,bado hapo kuna makato kwa ajili ya bima yake ya afya na familia yake unaweza ukakuta per week anachukua pound 20,000,ambazo sawa na milioni 60.
Iwe isiwe maisha ameshatoboa. Juu ya tax hizo kuna council tax. Hiyo ni makato ya nyumba unalipa either kwa mwezi au kwa mwaka. Unacholipa inategemea na sehemu unayoishi. Area ikiwa nzuri ushuani tax inakuwa kubwa. Na haikwepeki
 
*Mshahara wa Samatta
[emoji383] Mwaka - £2.6m (Tsh Bil 8)
[emoji383] Kwa Mwezi - £ 204,000 (Tsh Mil 610
[emoji383] Kwa wiki - £51,000 (Tsh Mil 153)
[emoji383] Kwa siku - £7285 (Tsh Mil 21)*
Ht km Ni kwl Sasa kumringanisha p. Didy Na Christian Ronaldo Au Messi uzur wa usanii njee ya show anazo fanya anauza music kwenye plattform mbali mbali ambazo zina muingizia hela nyingi pamoja Na matangazo Kwahiyo Mm cio km kuna fact Na huwez kusikia Messi Au Ronaldo kampita utajir Jay Z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P didy ana miaka karibia 50 that means wakati ana miaka 30 alikuwa tayari bilionea wakati ronaldo alikuwa mtoto mdogo tu so ronaldo anampitaje mkwanja?
 
sayoo,

Hacha kuwa na Roho ya kimasikini ni mstari ulinivutia sana,Masikini na umasikini wake uwa wanaishia kutumia muda mrefu kijadili wengine.
 
Back
Top Bottom