Mshahara wa serikalini wa Assistant Procurement Officer kwa level ya Diploma ni Tsh. ngapi?

Guga guga

New Member
Joined
Feb 9, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Habari za Humu wana Jukwaaa, naitaji kujua kima cha Mshahara wa Aliyeajiriwa na diploma ya procurement serikali kada ya Assistance procurement officer/ Assistance Supllies officer naombeni Majibu
 
Yani unauliza mshahara kabla hata hujaitwa kazini, change your mindset.
Yaani nyuzi za namna hii zinahuzunisha... inaonesha miaka inayokuja tutakua na watumishi wa aina gani... watu wanajali sana maslahi kuliko kazi yenyewe.
 
Habari za Humu wana Jukwaaa, naitaji kujua kima cha Mshahara wa Aliyeajiriwa na diploma ya procurement serikali kada ya Assistance procurement officer/ Assistance Supllies officer naombeni Majibu
Wewe fahamu tu, ni mshahara mdogo unaolingana lingana na mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi anayeanza kazi.
 
Serikali inakupa hiyo ajira, unapelekwa wilaya ya Kakonko huko Kigoma na unapelekwa kukaa huko ndani ndani kidogo kutoka wilayani, halafu wewe umezaliwa na kuishi Dar, Arusha au Mwanza maeneo ya karibu na City centre.
-Mshahara ni 470,000 (Take home 350,000)
-Umeme wa uhakika, maji safi, makazi bora, mtandao wa internet ni kitendawili.
-Hakuna mishe mishe zingine, zaidi ya kungojea pilikapilika za mbio za mbio, ziara za viongozi wakubwa.

Lazima upauke.
 
Unakatisha tamaa watu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali ni general term,.. Kuna taasisi, mashirika, wakala etc mshahara inatofautiana pia. Kuwa specific
 
Yaani nyuzi za namna hii zinahuzunisha... inaonesha miaka inayokuja tutakua na watumishi wa aina gani... watu wanajali sana maslahi kuliko kazi yenyewe.
Mkuu,kwani wewe unafanya kazi ili upate tuzo au maslahi yako?
 
Serikali inakupa hiyo ajira, unapelekwa wilaya ya Kakonko huko Kigoma na unapelekwa kukaa huko ndani ndani kidogo kutoka wilayani, halafu wewe umezaliwa na kuishi Dar, Arusha au Mwanza maeneo ya karibu na City centre.
-Mshahara ni 470,000 (Take home 350,000)
-Umeme wa uhakika, maji safi, makazi bora, mtandao wa internet ni kitendawili.
-Hakuna mishe mishe zingine, zaidi ya kungojea pilikapilika za mbio za mbio, ziara za viongozi wakubwa.

Lazima upauke.

Ni sawa tu ili mradi unapata riziki! Utakaa mjini kushangaa maghorofa na wenzio wakiingiza pesa?
 
Back
Top Bottom