Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Hata wewe kilaza mmoja tu.. huna jipyaKundi moja Hilo ndio wote hao Vilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe kilaza mmoja tu.. huna jipyaKundi moja Hilo ndio wote hao Vilaza
Jaman muwe na maelewano hata Kama mmepishana mawazoHata wewe kilaza mmoja tu.. huna jipya
Tutake radhi kaka hivyo vyuo ndio vinatufanya leo tunaringa na harrier zetu mtaani.Watoto wa IFM,TIA, nk hao Ni Vilaza, ndiyo hao hawajui kutofautisha Lecturer na Lecture
Kwani ukiringa na harrier Ndiyo kinga ya Kuwa kilaza?Tutake radhi kaka hivyo vyuo ndio vinatufanya leo tunaringa na harrier zetu mtaani.
Ww genious umesoma chuo gan na kitivo ganiKundi moja Hilo ndio wote hao Vilaza
Sikutaka hata kubishana nae maana nmeona n mjinga tu kwa sababu hajui alisemaloTutake radhi kaka hivyo vyuo ndio vinatufanya leo tunaringa na harrier zetu mtaani.
Kuna watu hua wanakibeza chuo cha ifm mm sijasoma apo ila IFM ni chuo kigumu japo wanachuo wao ni walaini ila sio poaSikutaka hata kubishana nae maana nmeona n mjinga tu kwa sababu hajui alisemalo
UoN , The University of NairobiWw genious umesoma chuo gan na kitivo gani
Nikajua Princeton au Havard.kumbe hao wenzetu na sie tuUoN , The University of Nairobi
Au sioNikajua Princeton au Havard.
Nitafute pmHabari za Humu wana Jukwaaa, naitaji kujua kima cha Mshahara wa Aliyeajiriwa na diploma ya procurement serikali kada ya Assistance procurement officer/ Assistance Supllies officer naombeni Majibu
We utakua na matatizo ya akili aseeee kwaio serikali imeweka vyuo na ma lecturer ili wafundishe na kuandaa vilaza ambao wanaajiliwa TRA na sehemu nyingine tofauti dah we sema labda pengine ulibahatika kupata ka degree ambako unako hapo kwenu basi kichwa kinavimba alafu unakuja kazini boss wako ni wa IFM ambae alianza na DiplomaKwani ukiringa na harrier Ndiyo kinga ya Kuwa kilaza?