MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

Public University hakuna kitu kama Part Time !
Ipo hasa kukiwa na upungufu ila si kwa kada husika. Tutorial Assistant ni ngazi ya kiuanafunzi hivyo katika chuo kinachotoa degree. Ngazi ya chini ni Assistant Lecturer ambaye anatakiwa awe na Masters. Bali mwenye digrii moja kwa chuo ambacho hakitoi degree mfano anafundisha NTA 4-6 ni mwalimu ambaye huitwa Tutor au kwa NVA 1-3.
 
Hivi Mshahara wa Tutorial assistant wa part time kwa vyuo vya public huwa ni shillings ngapi ?
Hutofautiana, wengi hulipa kamaifuatavyo
30,000/= kwa kipindi, utapata vipind 3-4 kwa wiki.
300 kwa kila script utakayo mark ya assignment
800 kwa kila script utakayo mark ya mtihan wa kumaliza semester
50,000 kwa kila mtihani utakao simamia.

Aidha kama wewe ni kidume utapata fursa ya kuwapitia watoto wa kila aina, shape, tabia na hatimaye utapata HIV na kupoteza maisha.
Chuo kitagharimia sanduku na kusafirisha mwili.
Sent using COVID-19
 
Ha ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah, nimecheka sana
 
Uko vizuri mkuu.
Hiyo uliyotumia kuituma hii comment ni simu au app?
 
Hutofautiana, wengi hulipa kamaifuatavyo
30,000/= kwa kipindi, utapata vipind 3-4 kwa wiki.
300 kwa kila script utakayo mark ya assignment
800 kwa kila script utakayo mark ya mtihan wa kumaliza semester
50,000 kwa kila mtihani utakao simamia.

Aidha kama wewe ni kidume utapata fursa ya kuwapitia watoto wa kila aina, shape, tabia na hatimaye utapata HIV na kupoteza maisha.
Chuo kitagharimia sanduku na kusafirisha mwili.
Sent using COVID-19
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom