MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

Vijana twaomba mchongo

MEd Assessment, measurement and Evaluation.

Naeza fundisha: Research Methodology, ICT in Education, Curriculum and Communication skills
Jamani vyuo vingi ata vya serikali wanapokea part timers sema tatizo kama huna experience ya kufundisha au hujasomea ualimu wanazingua kidogo. Ukiwa na GPA nzuri haswa wale wenye kuanzia 4.0 kwenda juu ndo utapata kirahisi.
 
Back
Top Bottom