Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

kama watu wanaishi kwa 180,000/mwezi. Naamini mishahara ya wafanyakazi waajiriwa zaidi ua asilimia 80 inapaswa kukutana. Changamoto ni nani kapewa huo mshahara.
 
Kama una mishahara ina kutana huenda kuna haya yafuatayo
1.una ishi maisha ya zero cost ,yaani ndo wale wanafanya kazi huku wazazi wao wakiwatumia pesa za matumizi mara nyingi hili huwatokea wadaa wanaopendwa na Baba zao
2.ni mfanyakazi lakini una biashara kubwa inayokuingizia kipato ambacho ni mara 2 hadi 3 ya mshahara wako..hivyo hutojari mshahara wako itagongana tu
2
 
So what
 
Ongeza na mshahara mnene πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…