Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

Kwa bongo hii... wapo lakini wachache Sana 20 Kwa 1000
 
Ukutane ufanye nini? Mshahara huwa unaingia ushaisha tayari, lakini tuna survive vizuri tu hakuna mtu atagundua
 
Me kabla sijapokea mshahara umeshaisha
Unakutana na madeni
 
Back
Top Bottom