Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa kipindi nipo advance, Kuna club inaitwa Ikweta ipo Songea.Nakumbuka siku hiyo tulikamatwa na polisi...

Sijawahi kwenda tena tokea hapo.Ila before nimeenda sana.
 
sijawai na sidhani kama itatokea siku niende disco nnachokijua mimi kila mtu ana starehe yake tofauti na mwngine kwahyo sio ushamba kutokwenda binafsi napenda sana kutoka usiku lakini nakua sehemu tulivu kabisa na hapo ndio nairidhisha nafsi 100%, kwenye mikikimikiki huwa siwezi kaa kabisa.
 
Mara kadhaa tulitoka Arusha mpaka Club LA Chika Tanga kufuata watoto wa kitanga wanaonukia udi chaliaraa

2013 tuliingizwa chumba kimoja kimeandikwa ''Bustani ya Mapenzi''

Mlangoni yupo bibi mmoja huyo amejiremba kama jini anakaribisha watu ndani...WALLAH kule ndani unaweza kuacha kila kitu

Hawataki uvute ganja KABISA.
 
Disco wanaenda "WASHAMBA" tu.
 
haujawahi kuhisi kama kuna kitu una miss?

yani hujawahi kutamania hivi,si unajua tena kitu kinachofanywa na wengi

lazima nawewe hata ujaribu uone kuna nini kwani?
 
Binafsi hata Mimi sijawahi
haujawahi kuhisi kama kuna kitu una miss?

yani hujawahi kutamania hivi,si unajua tena kitu kinachofanywa na wengi

lazima nawewe hata ujaribu uone kuna nini kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…