hujawahi shawishiwa kwenda hata siku 1?Daaaah mzee umepiga mulemule yaani mi mwenyewe hapa napenda music ya kila aina na napenda na nafanya djng kinoma lakini kwenye simple party tu kama mahafali kitchen party na HBD lakini tangu nizaliwe sijui disco la umma kabisa, club wala baa. mbaya zaidi sijawahi hata kufikiria kuwa nahitajika kwenda huko hata kujuta kuwa sijawahi kwenda disco sijawahi juta.
Bi. Mkubwa alikua anaenda na faza enzi hizo lkn ameshaacha siku hizi,amemuachia mzee baba akajichekie watoto wazuri arudi zake home ku-mbonji.acha kabisa asee
anaenda na bi maza ako au anenda peke ake kukutana na vinguchiro vya huko?
Hizo shule zipo karibu kweli? Maana St Francis de Sales ipo kule chini maeneo ya kota za Godes,then hii St Ann ipo huku barabarani kabisa, japo zote zipo KihondaKusema ukweli tangu nazaliwa sijui kitu inaitwa club au disco naskiaga tu hii kitu ila binafsi sijawahi
kabisa kwenda disco nikajua kupoje au huwa kunakuaje,ninachokumbuka nikiwa shule moro kuna
Shule yetu ilikua ni ya boys tupu (st fransis) ila pembeni ya shule yetu mtaa huo huo kuna shule ingine
ya wasichana tupu (st ann) hizi shule zote mbili ni za wakatoliki huwa kinachofanyika kwa shule hizi
kila mwezi huwa kunakuaga na disco shuleni kwetu wanachukuliwa Girls kutoka st ann wanaletwa St francis
kunakua na disco na mziki mmoja hatari sana,tuna HALL letu moja MULTPURPOSE hilo HALL ni hatari kabisa
tuna mixika humo ndani ni bang bang bang jioni vitoto vya st ann vinarudi shuleni kwao.
Sisi BOYS tunaanza maisha mapya ya story na kusimuliana disco lilikuaje...zaidi ya hapo sijawahi jua Disco huko kwingine kunakuaje
hadi leo sijawahi tamani kwenda huko disco/club japokua sijaenda na hivi nikiskia wanasema disco soda ndani inauzwa 2000 ndio kabisaaaa
wananipa sababu ya kutokwenda maana najua siwezi kwenda peke angu bila mtu pembeni,sasa kama soda ni 2000 na naskia hamna soda za chupa
aaaaaah jamani vingine mtanisimulia huwa vikoje
yap st ann na st francis ukaribu wake ni wa dk 5 tuHizo shule zipo karibu kweli? Maana St Francis de Sales ipo kule chini maeneo ya kota za Godes,then hii St Ann ipo huku barabarani kabisa, japo zote zipo Kihonda
Sio tu nazijua,Bali hta asubuh hii nimepita hapo St Francis, naelekea Maghorofaniyap st ann na st francis ukaribu wake ni wa dk 5 tu
hope wewe unazijua kweli
Nilianza kwenda club nilivyomaliza form six anzia siku hiyo hadi leo na uzee wangu naenda💃💃💃
Mule ndani St Francis nimeshaingia Mara nyingi Sana, opposite na Hiyo shule Kuna nyumba ya watawa nilikua nna bill ya maziwa pale,Kuna court ya Basketball kma unakumbuka vizuri,then hao wahindi wa St Francis nilikua nasali nao kule juu kwenye kanisa lao karibu na Polyester ClubBADO NI UNAZIJUA TU
ungekua unazijua zaidi ungekua umeshaingia ndani
so ni unazijua (sawa bob)
Mm nimeanza toka niko darasa la saba mpaka now club hizi naenda sana na nilazima nicheze tena baada ya kulewa ndo uwa nacheza
Wala sijawahi kutamanihaujawahi kuhisi kama kuna kitu una miss?
yani hujawahi kutamania hivi,si unajua tena kitu kinachofanywa na wengi
lazima nawewe hata ujaribu uone kuna nini kwani?
Silent henzi za friday facult?
Aisee mi hakuna mkoa nimeenda nisikanyage Disco...!!
Mimi wala sihitaji booster aisee..harusini nilikua natuma ujunbe kbs dj asiniangushe🤣🤣..woga ss dingilai. Nikajitoa ufahamu .chezaaa...mama akaniambia harusi imejaa pepo wachafu🤣🤣🤣🤣