Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Sawa ubarikiwe sana mtumishiHapana, tulienda kuimba mapambio
Sawa ubarikiwe sana mtumishiHapana, tulienda kuimba mapambio
haujawahi kuhisi kama kuna kitu una miss?
yani hujawahi kutamania hivi,si unajua tena kitu kinachofanywa na wengi
lazima nawewe hata ujaribu uone kuna nini kwani?
Aisee tena wewe ulikua karibu sana na hivyo viwanja lkn hukushawishika kwenda, kweli kila mtu na starehe yakeMimi pia nimekulia Ta, sijawahi kuingia ukumbi wowote, nilikuwa nikiishi maeneo ya kati pale karibu na Majestic, nilikuwa nilisikia mfumo wa muziki wa club ya Twiga/la casa choke/four ways n.k. ila hata mara moja sijawahi kujisikia kwenda.
👊👊👊Nahisi si sehemu ya starehe zangu, maana hata niwe na pesa za kuparty mwezi mzima lkn bado sijiwi na wazo la kwenda club. Hata aina ya marafiki niliokulia nao pia wamechangia maana hawakuwa watu wa club hivyo nilikosa ushawishi
😃😃😃😃Kweli shetani anatesa watu, yaani na umri huo haujawai kwenda disco kweli.
😃😃😃😃Tuheshimiane inawezekana mm ni baba yako
aiseeNdo nyie mnaoruka stage! Mnakuja kuaibisha wazee wenzenu mtaani!
😃😃😃Aisee sitokuja kwenda club
Siku za jumamosi,
Huwa Nawasha mziki chumbani kwangu, alafu naweka zile taa za mwanga mwanga, naanza kuscratch, au naweka playlist Kisha nachezaa wee peke yangu, nikichoka Naenda kuoga, nalala
Mtu akinifuma nahisi itakua aibu ya mwaka
Ukizaliwa Introvert ni shida aisee.
Nasikia ukiingia na mtoto mkali kama huna mbavu wanakunyang'anya na demu anakuwa Vanessa kwa FA.Kusema ukweli tangu nazaliwa sijui kitu inaitwa club au disco naskiaga tu hii kitu ila binafsi sijawahi
kabisa kwenda disco nikajua kupoje au huwa kunakuaje,ninachokumbuka nikiwa shule moro kuna
Shule yetu ilikua ni ya boys tupu (st fransis) ila pembeni ya shule yetu mtaa huo huo kuna shule ingine
ya wasichana tupu (st ann) hizi shule zote mbili ni za wakatoliki huwa kinachofanyika kwa shule hizi
kila mwezi huwa kunakuaga na disco shuleni kwetu wanachukuliwa Girls kutoka st ann wanaletwa St francis
kunakua na disco na mziki mmoja hatari sana,tuna HALL letu moja MULTPURPOSE hilo HALL ni hatari kabisa
tuna mixika humo ndani ni bang bang bang jioni vitoto vya st ann vinarudi shuleni kwao.
Sisi BOYS tunaanza maisha mapya ya story na kusimuliana disco lilikuaje...zaidi ya hapo sijawahi jua Disco huko kwingine kunakuaje
hadi leo sijawahi tamani kwenda huko disco/club japokua sijaenda na hivi nikiskia wanasema disco soda ndani inauzwa 2000 ndio kabisaaaa
wananipa sababu ya kutokwenda maana najua siwezi kwenda peke angu bila mtu pembeni,sasa kama soda ni 2000 na naskia hamna soda za chupa
aaaaaah jamani vingine mtanisimulia huwa vikoje
[emoji38][emoji38][emoji38]Kweli shetani anatesa watu, yaani na umri huo haujawai kwenda disco kweli.
Aisee ulikokotwa [emoji38]nakumbuka nlivokuwa udom 1st year, nilipelekwa na demu gesti. uwiiii.! njia nzima namuangalia yule demu na cjammaliza.
Bila kusahau wanuka midomoDisco la shule vikwapa hatari harufu kali