Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

raha sana kwenda kwenye haya maeneo..yaani vituko vingi..jamaa anademu mzigo huo anacheza matako yanakuwa kifuani kwa jamaa..
 
Nahisi si sehemu ya starehe zangu, maana hata niwe na pesa za kuparty mwezi mzima lkn bado sijiwi na wazo la kwenda club. Hata aina ya marafiki niliokulia nao pia wamechangia maana hawakuwa watu wa club hivyo nilikosa ushawishi
haujawahi kuhisi kama kuna kitu una miss?

yani hujawahi kutamania hivi,si unajua tena kitu kinachofanywa na wengi

lazima nawewe hata ujaribu uone kuna nini kwani?
 
Mimi pia nimekulia Ta, sijawahi kuingia ukumbi wowote, nilikuwa nikiishi maeneo ya kati pale karibu na Majestic, nilikuwa nilisikia mfumo wa muziki wa club ya Twiga/la casa choke/four ways n.k. ila hata mara moja sijawahi kujisikia kwenda.
Aisee tena wewe ulikua karibu sana na hivyo viwanja lkn hukushawishika kwenda, kweli kila mtu na starehe yake
 
Nahisi si sehemu ya starehe zangu, maana hata niwe na pesa za kuparty mwezi mzima lkn bado sijiwi na wazo la kwenda club. Hata aina ya marafiki niliokulia nao pia wamechangia maana hawakuwa watu wa club hivyo nilikosa ushawishi
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Kila mtu na starehe yake,binafsi napenda mziki lakini kwenda disco imekua ni suala gumu kwangu
 
Nilizamia disco siku moja kufika saa 9 usiku usingizi ukanikaba haswa. Kesho yake kichwa kiliuma ile mbaya toka siku iyo,mwaka 2006 sijatia mguu disco.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
ChickMagnet huyo jamaa maison atapaweza kweli maana k vant inauzwa buku 80
 
Nasikia ukiingia na mtoto mkali kama huna mbavu wanakunyang'anya na demu anakuwa Vanessa kwa FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…