Ahahaha jamaa umenifanya nicheke sanaDah yani ukimchek Mo unaweza hisi ka jamaa flan hivi kahuni huni kumbe bilionea wa hatari.
Hahaa umeona T-shirt?Mo na hako kapensi kake dah!
Kidogo kitovu kiwe nje.Hahaa umeona T-shirt?
Kwhyo nyi chura sc alikua sio garasa mlivotaka kmuazimaYaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic
Hili ni garasa time will tell!!!
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic
Hili ni garasa time will tell!!!
Kama Mr OntarioMo na hako kapensi kake dah!
Salamba yuko poa,in short Yanga sasa hivi hamna striker mwenye uwezo wa SalambaYaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic
Hili ni garasa time will tell!!!
Ukiondoa Shaban Idd Chilunda wa Azam na Rashid wa Prisons, hakuna mshambuliaji mzuri Mtanzania aliye nje ya Simba zaidi ya Salamba na Kaheza. Kumbuka kuna nafasi saba tu za professional playersYaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii...!