Mshambuaji wa Lipuli FC, Adam Salamba asaini kuitumikia Simba SC

Mshambuaji wa Lipuli FC, Adam Salamba asaini kuitumikia Simba SC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Adam Salamba ni Mwekundu wa Msimbazi

Aliyekuwa mshambuaji wa Klabu ya Lipuli FC kutoka Iringa Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ada ya 40ml kwa ajili ya kuitumikia Simba SC kwa msimu ujao wa Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa.View attachment 788626
IMG_20180528_215124_510.jpg
 
Vyura Fc wao wanataka kuazima wakt wenzao wanaweka mzigo wa pesa
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
 
Kama sio fitna za Simba na Yanga,huyu kijana hastahili kuvaa jezi za Simba. Ana mengi ya kujifunza kabla hajaanza kuchezea timu ambayo mwakani itawakilisha nchini Kimataifa.
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
Kwhyo nyi chura sc alikua sio garasa mlivotaka kmuazima
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!

Mkuu mbona sisi yanga tulikuwa tunataka atusaidie mechi za kimataifa na tuliandika huyu ni mchezaji mzuri tuachen wivu wa kike... Ndo maana mkwasa alifikiria katika wachezaj wote akamwona salamba... Jamaa wametuzid wamempata tukubali kushindwa tu
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
Salamba yuko poa,in short Yanga sasa hivi hamna striker mwenye uwezo wa Salamba
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii...!
Ukiondoa Shaban Idd Chilunda wa Azam na Rashid wa Prisons, hakuna mshambuliaji mzuri Mtanzania aliye nje ya Simba zaidi ya Salamba na Kaheza. Kumbuka kuna nafasi saba tu za professional players
 
Back
Top Bottom