Fikra potofu.Za babake,Mali za urithi
Mlitaka muingie choo cha kike ...hyu dogo nimeanza kumfatilia tokea akiwa stand hana potential kivile ni wa kawaida mno hta ball control ni mtihani mkubwa kwake...
Angesajiliwa yanga nisingeshangaa coz wana ukata lakini sio kwa simba hii inayojitanabaisha kutaka kufanya vizuri klabu bingwa, ufurukute kombe la caf kwa wachezaji dzain hii ya salamba never!!!
Anaweza kufanikiwa lakini ana kazi kubwa mno ya kufanya ...ajitume sana kwenye mazoezi tena inabidi awe na mazoez yake ya ziadaWe unachuki naye binafsi. Na ni heri huyu anauwezo wa kukifikia goli. Hakuna alizaliwa anaweza ni kujifunza na kila timu ina malengo yake. Hata Samatta watu walibeza alipotoka African Lyon
Mtu kama Mkwasa ana taaluma ya ukocha ameangalia akaona huyu anafaa kuwasaidia ila kutokuweka mzigo mezani ndo tatizo.
Weka akiba yako katika maneno. Mbona Mavugo alikuwa mzuri kwao, Niyonzima, je wameasaidia nini Simba SC?
Acha dogo ajaribu bahati yake, Simba SC
Nikuwa nasoma taarifa kwenye gazeti. Simba wanasema sababu ya kumsajili kwanza ni umri wake, halafu ni mpambanaji, umbile lake kwa mukhutadha huo endapo atazishia mazoezi na kumsikiliza kocha anaweza kuwa atakuwa tegemeo baadaye.Anaweza kufanikiwa lakini ana kazi kubwa mno ya kufanya ...ajitume sana kwenye mazoezi tena inabidi awe na mazoez yake ya ziada
Ajifunze kuwa mtulivu anapokuwa mbele ya goal
Inabidi atafute video za washambuliaji wakubwa ajifunze mbinu mbalimbali za kufunga
Kuhusu umri ni kweli anaonekana bwana mdogo na ukweli ndyo huo bado ana mapungufu mengi mno akiyafanyia kazi anaweza kufika mbaliNikuwa nasoma taarifa kwenye gazeti. Simba wanasema sababu ya kumsajili kwanza ni umri wake, halafu ni mpambanaji, umbile lake kwa mukhutadha huo endapo atazishia mazoezi na kumsikiliza kocha anaweza kuwa atakuwa tegemeo baadaye.
Huu sasa ndyo ushabiki mandazi yaan hta kkm upo simba ukikosoa lolote kuhusu simba vasi utaitwa we yanga.... Huu tunaita ushabiki mandazisasa inakuaje yanga walienda kuwapigia magoti lipuli iwasaidie huyu mchezaji kwa mechi za kimataifa? hapo ndo napatwa na kigugumizi sana. au ndo sizitaki mbich hizi?
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Huu sasa ndyo ushabiki mandazi yaan hta kkm upo simba ukikosoa lolote kuhusu simba vasi utaitwa we yanga.... Huu tunaita ushabiki mandazi
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Muda utasema list ya majuu ni ndefu sana. Unadhani Mavugo,Juuko wataridhiwa na nani?Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Mhuni tu huyo.Dah yani ukimchek Mo unaweza hisi ka jamaa flan hivi kahuni huni kumbe bilionea wa hatari.
Duuh! Nawaona MtaniMambo ni[emoji91][emoji91]
Mo na hako kapensi kake dah!
Hahaa umeona T-shirt?
Hahaaaa. Sio siri mmejua kunichekesha jamaani. Lol.Kidogo kitovu kiwe nje.
Tajiri kapiga pensi la ukweli.Adam Salamba ni Mwekundu wa Msimbazi
Aliyekuwa mshambuaji wa Klabu ya Lipuli FC kutoka Iringa Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ada ya 40ml kwa ajili ya kuitumikia Simba SC kwa msimu ujao wa Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa.View attachment 788626View attachment 788627