Mshambuaji wa Lipuli FC, Adam Salamba asaini kuitumikia Simba SC

sasa inakuaje yanga walienda kuwapigia magoti lipuli iwasaidie huyu mchezaji kwa mechi za kimataifa? hapo ndo napatwa na kigugumizi sana. au ndo sizitaki mbich hizi?
Mlitaka muingie choo cha kike ...hyu dogo nimeanza kumfatilia tokea akiwa stand hana potential kivile ni wa kawaida mno hta ball control ni mtihani mkubwa kwake...
Angesajiliwa yanga nisingeshangaa coz wana ukata lakini sio kwa simba hii inayojitanabaisha kutaka kufanya vizuri klabu bingwa, ufurukute kombe la caf kwa wachezaji dzain hii ya salamba never!!!
 
We unachuki naye binafsi. Na ni heri huyu anauwezo wa kukifikia goli. Hakuna alizaliwa anaweza ni kujifunza na kila timu ina malengo yake. Hata Samatta watu walibeza alipotoka African Lyon

Mtu kama Mkwasa ana taaluma ya ukocha ameangalia akaona huyu anafaa kuwasaidia ila kutokuweka mzigo mezani ndo tatizo.

Weka akiba yako katika maneno. Mbona Mavugo alikuwa mzuri kwao, Niyonzima, je wameasaidia nini Simba SC?

Acha dogo ajaribu bahati yake, Simba SC
Anaweza kufanikiwa lakini ana kazi kubwa mno ya kufanya ...ajitume sana kwenye mazoezi tena inabidi awe na mazoez yake ya ziada

Ajifunze kuwa mtulivu anapokuwa mbele ya goal

Inabidi atafute video za washambuliaji wakubwa ajifunze mbinu mbalimbali za kufunga
 
Nikuwa nasoma taarifa kwenye gazeti. Simba wanasema sababu ya kumsajili kwanza ni umri wake, halafu ni mpambanaji, umbile lake kwa mukhutadha huo endapo atazishia mazoezi na kumsikiliza kocha anaweza kuwa atakuwa tegemeo baadaye.
 
Kuhusu umri ni kweli anaonekana bwana mdogo na ukweli ndyo huo bado ana mapungufu mengi mno akiyafanyia kazi anaweza kufika mbali
 
Adam Salamba ... This Is Simba SC.
FB_IMG_1527588251116.jpg
 
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
 
sasa inakuaje yanga walienda kuwapigia magoti lipuli iwasaidie huyu mchezaji kwa mechi za kimataifa? hapo ndo napatwa na kigugumizi sana. au ndo sizitaki mbich hizi?
Huu sasa ndyo ushabiki mandazi yaan hta kkm upo simba ukikosoa lolote kuhusu simba vasi utaitwa we yanga.... Huu tunaita ushabiki mandazi
 
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $

Kwani wachezaji wa nje wanatakaiwa wangapi ? uwe unatumia akili kidogo basi
 
siyo mandazi ni maandazi... wewe utakuwa shabiki kachori kabisa...

Huu sasa ndyo ushabiki mandazi yaan hta kkm upo simba ukikosoa lolote kuhusu simba vasi utaitwa we yanga.... Huu tunaita ushabiki mandazi
 
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $

Hata mlipili alitokea timu ya mwisho mkiani, leo unasemaje? Tujifunze kukubali vipaji vya watu
 
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $

Kama Sikosei Wachezaji Wa Majuu (Nje Ya Tanzania) Wanaotakiwa Mwisho 7.
Sasa Piga Mahesabu Simba Ana Wangapi! Ni Lazima Asajili Watanzania.
 
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
Muda utasema list ya majuu ni ndefu sana. Unadhani Mavugo,Juuko wataridhiwa na nani?
 
Dah yani ukimchek Mo unaweza hisi ka jamaa flan hivi kahuni huni kumbe bilionea wa hatari.
Mhuni tu huyo.
Alianza ba Mbagala Market, akaiuza.
Baadaye Singida United akaitekekeza!
Sasa ni zamu ya Simba, ataipiga bei maana imekuwa bidhaa kama bidhaa nyingine tu.
 
Back
Top Bottom