Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

"Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio One muda si mrsfu.

Tafadhali aliye karibu na huyu Mchezaji amwambie kuwa GENTAMYCINE wa JamiiForums namwambia hapo alipo sasa Kuroga na kupenda Ushirikina ni Moja ya Tunu yao Kuu na iliyotukuka hivyo ajiandae kuwa anachanjwa Ugokoni, Ulimini na Kisiginoni kila akiwa anacheza huku Jezi yake ikishoneshewa Hirizi ya Kipekee.

Yaani kabisaaaaa Timu ina Marafiki zangu Wakubwa na Wanaojua Kona zote za Waganga wa Kienyeji Tanzania nzima hadi Kisiwani Zanzibar akina Mohammed Bhinda na Said Motisha halafu isiwe Inaroga hata Mechi za Kirafiki.
Ataondoka haraka sana kwa hili
 
Ustadh said yalimshinda kuchwanjwa hadi mkund*ni akaona hii dalili ya kuliwa 0712 na eng kama kina kabwili hii..
 
Mwambieni hapo makao makuu yao ndio wachawi wote wanapofanyia mikitano usiku ndio maana hapakauki maji.
 
Ndiio maana hakukubali kwenda Dunduka Fc.atakuwa alifahamu tukio la kuwasha moto uwanjani kule south Africa na kufungiwa na kutozwa faini Gadiel Michael kwa ulozi akiwa uchi mchana msimu uliopita akiwa Ngada fc
 
Back
Top Bottom