TANZIA Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari

TANZIA Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari

Mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari huko Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno.

Inaripotiwa kuwa Jota alikuwa akisafiri ndani ya gari pamoja na kaka yake Andre, ambaye naye ni mchezaji wa mpira wa miguu mwenye umri wa miaka 26,ambapo mara baada ya ajali kutokea gari liliwaka moto.

Tukio hilo limetokea katika barabara ya A-52 katika jimbo la Zamora, Uhispania.

Habari hizi za kusikitisha zinakuja wiki mbili tu baada ya Jota kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Rute Cardoso, katika jiji la Porto.

Mwaka huu Diogo Jota ametwaa ubingwa wa EPL, mwaka huu ametwaa Nations League na Ureno, mwaka huu ndani ya wiki za hivi karibuni alifungav ndoa na Mkewe

R.I.P
 
Dah best number 9 wangu kwenye ps, niki cheza league ili kuwa lazima nim sign.

One week toka afunge ndoa, dah kudadadeki life haliko fair.
FB_IMG_17515331274773002.jpg
 
Bwana, u sehemu yangu,
rafiki yangu,Wewe katika safari yangu nitembee na Wewe.
pamoja na Wewe,
pamoja na Wewe,
katika safari yangu nitembee na Wewe.
RIP Jota.
 
Bwana, u sehemu yangu,
rafiki yangu,Wewe katika safari yangu nitembee na Wewe.
pamoja na Wewe,
pamoja na Wewe,
katika safari yangu nitembee na Wewe.
RIP Jota.
 
Lately, women are surprised to see almost 70% of men posting and mourning the death of Diogo Jota. They end up wondering why this person has such a great influence?
 
Epl
Cup of Nations
Ndoa
Kifo.
Ukurasa umefungwa hivyo.
Familia itazika majivu Mana ndicho kilicho-salia.
 
Back
Top Bottom