TANZIA Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari

R.I.P
 
Dah best number 9 wangu kwenye ps, niki cheza league ili kuwa lazima nim sign.

One week toka afunge ndoa, dah kudadadeki life haliko fair.
 
Bwana, u sehemu yangu,
rafiki yangu,Wewe katika safari yangu nitembee na Wewe.
pamoja na Wewe,
pamoja na Wewe,
katika safari yangu nitembee na Wewe.
RIP Jota.
 
Bwana, u sehemu yangu,
rafiki yangu,Wewe katika safari yangu nitembee na Wewe.
pamoja na Wewe,
pamoja na Wewe,
katika safari yangu nitembee na Wewe.
RIP Jota.
 
Lately, women are surprised to see almost 70% of men posting and mourning the death of Diogo Jota. They end up wondering why this person has such a great influence?
 
Epl
Cup of Nations
Ndoa
Kifo.
Ukurasa umefungwa hivyo.
Familia itazika majivu Mana ndicho kilicho-salia.
 
Apumzike kwa amani

Na mimi jana nusu nife kwa njaa kutokana na ushauri wa Janabi
Kuna vitu kwenye maisha yako binadam hutakiwi kuzingatia ushauri wa mtu yeyotee mtakuja kufa vibayaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…