Aaamen Ndetimaketemshana jr Endelea kushusha mawe juu ya mawe mpaka siku uje ukae juu ya mawe.wengine waje wazaliwe juu ya mawe waendelee kuyatumia hayo mawe.....dunia ina mambo mengi na shulen hayafundishwi...Mimi nashukuru mada za humu jf kuhusu mambo ya kiroho yamenisaidia kusolve baadhi ya matatizo baada ya kutambua tiba nzuri ni ipi kati ya ibada kwa Mungu na tiba kwa upande wa pili......God bless u Mshana Jr....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13]agent wa shetani unawajua au uoga wako wa kusoma mada usizozijua unakutisha?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13]
Kweli kabisa ndugu yanguUkikaa karibu na mchawi tunguli zitakuhusu very soon
Sema baba Sema,sijakataa...ila huoni huu ni ulozi...wa wazi wazi halafu mnasema ni mambo ya kizungu????...hapo bro ulitaka nitumie akili gani....?
God is great asante sanaUpo kiongozi pole na majukumu
HahhahahaaaSema baba Sema,
Toa dukuduku baba
Hii inasaidia kupunguza stress
Ukweli humuweka mtu huru
naona unamwaga mchele kwenye kuku wengi.
Dah! Umeamua kumwaga Ugali kabisaa
KWELI maishapopote (haya ogopi mtu).
God is great asante sana
Duu acha tu dada nilipotea ila sasa nipo tuwasiliane kule kesho, Jumapili nitakuwa sipo mbali sana kutoka ulipoHivi upogo bro?????
. OK bro,, thanks...Duu acha tu dada nilipotea ila sasa nipo tuwasiliane kule kesho, Jumapili nitakuwa sipo mbali sana kutoka ulipo
duh aisee...we kiboko !Duu acha tu dada nilipotea ila sasa nipo tuwasiliane kule kesho, Jumapili nitakuwa sipo mbali sana kutoka ulipo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi huogopi kuandika huu uzi,utatunguliwa huko hahaaaaaaa, usidhanie hatujaona uliyooona, ila tunalinda maisha yetu dhidi ya mapepo ya kujitakia lol
Walah ukinitungua na mie nakutungua, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipomshana wap