Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Aaamen Ndetimaketemshana jr Endelea kushusha mawe juu ya mawe mpaka siku uje ukae juu ya mawe.wengine waje wazaliwe juu ya mawe waendelee kuyatumia hayo mawe.....dunia ina mambo mengi na shulen hayafundishwi...Mimi nashukuru mada za humu jf kuhusu mambo ya kiroho yamenisaidia kusolve baadhi ya matatizo baada ya kutambua tiba nzuri ni ipi kati ya ibada kwa Mungu na tiba kwa upande wa pili......God bless u Mshana Jr....