Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

We binti....unachezea vilivyolala eeeh...vikiamka ujue kuvilaza tena...sio ukimbilie kwa kina madam B wakusaidie

Sijakuelewa, vilivyolala vinini?madame b anisaidie nini?nishawahi muomba anisaidie nini?
 
Kila ukionacho si kwamba utakihitaji.ya mshana jr mwachie yeye na sisi,na ya kwako na wenzio.
 
Uuuughhh... Thank you so much Mshana Jr... Keep them coming

Kama hamna mto je?

Hahhahaaaaa pole shosti... Huteseki kama mi ninavyoteseka

mshana jr ahsante kwa hii dawa ya kumuweka mme kiganjani hivi ulisema mtoni inatupwa usiku au mchana?

Evelyn Salt Heri yako umejibiwa...yaani mi swali langu kanigomea kunijibu, hajui navyoteseka kwa ajili ya baby wangu!

Kama kupenda kunatakiwa kuambatana na nguvu nyingine isiyotokana na utashi wa mwenye kupenda, huo hauwezi kuwa upendo hata jidogo. Si ujiulize kuwa wewe iko force gani nyuma ya upendo wako kwa huyo unayedai unampenda!

Ukishamroga kaka wa watu halafu unaanza kutamba kuwa unapendwa! Nyoo! Hakuna upendo hapo ila wewe kuna kinachokusukuma kumlazimisha akupende na siyo kweli kwamba wewe unampenda. Kumchuna zaidi. Mbona hamtafuti limbwata ili mpendwe na watu hohehahe, malofa nk. Utakuta mtu anatafuta hetu kupendwa na kumbe… acheni hizo!
 
Last edited by a moderator:

Don't take things so serious... Kura yako nakuomba umpe lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…