Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Tawile nipo serious nipo tayariKama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tawile nipo serious nipo tayariKama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
You see! Nawe mwenyewe ushaanza kupata mzuka wa kufahamu teh
Napita tuView attachment 292606
We binti....unachezea vilivyolala eeeh...vikiamka ujue kuvilaza tena...sio ukimbilie kwa kina madam B wakusaidie
Lucifer at work....ila we mshana utakuja kuwa kuni ww kule jahanam...
Kama kina polpot N wenzie
Uuuughhh... Thank you so much Mshana Jr... Keep them coming
Kama hamna mto je?
Hahhahaaaaa pole shosti... Huteseki kama mi ninavyoteseka
mshana jr ahsante kwa hii dawa ya kumuweka mme kiganjani hivi ulisema mtoni inatupwa usiku au mchana?
Evelyn Salt Heri yako umejibiwa...yaani mi swali langu kanigomea kunijibu, hajui navyoteseka kwa ajili ya baby wangu!
Kama kupenda kunatakiwa kuambatana na nguvu nyingine isiyotokana na utashi wa mwenye kupenda, huo hauwezi kuwa upendo hata jidogo. Si ujiulize kuwa wewe iko force gani nyuma ya upendo wako kwa huyo unayedai unampenda!
Ukishamroga kaka wa watu halafu unaanza kutamba kuwa unapendwa! Nyoo! Hakuna upendo hapo ila wewe kuna kinachokusukuma kumlazimisha akupende na siyo kweli kwamba wewe unampenda. Kumchuna zaidi. Mbona hamtafuti limbwata ili mpendwe na watu hohehahe, malofa nk. Utakuta mtu anatafuta hetu kupendwa na kumbe… acheni hizo!
View attachment 281821hayo ni mafuta ya mzeituni na matunda yake paka usoni na viganjani Changanya na chumvi kidogo Halafu nuizia mambo yako
Asante kwa kunijuza ngoja nianze kumfuatilia post zake zinapatikana jukwaa gani.... mana ninavyopenda mada za hivyo
Hahahaaa miss u 'Valentina'
Sijakumiss hata tone lol
Nini mbaya mamaake
Umentenga
Don't take things so serious... Kura yako nakuomba umpe lowasa