Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Agent wa shetani ni wewe,"wewe no shetani"
 
Shetani ni nani ?
Kwa mujibu wa Biblia alikuwa ni malaika kule mbinguni lakini alimwasi Mungu aliyemuumba na kutolewa huko na kusubiri hukumu ya moto wa milele pamoja na wafuasi wake.
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Usemayo ni KWELI tuko nyakati za mwisho Manabii wa uongo na mpinga kristo wako kazini yatupasa kudumu ktk maombi,kusoma biblia kwa bidii.
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Na ni mfuasi mzuri wa UKAWA
 
mshana jr anajitambua bhana, Kuwa Buddhist hakumaanishi Kuwa huwezi acha. Alisha achana na sadaka kwa miungu. mshana jr amefichua siri nyingi za gizani ambazo tusingeweza kuzifahamu
 
Last edited by a moderator:

Samaki ndio kiumbe wa mwisho kugundua kuwa anaishi kwenye maji...mshana aliacha cult practises kwa sababu ya ugumu wa kupractice...maana yeye ni mtu wa totoz na kula bata hatari...sasa jinsi anavyoendelea kusifia hizo evil and devil acts..ndio unajua huyu mtu kaacha kuwa shetani...ila akaamua kuwa wakala wake.....na ukiangalia makala zake nyingi...si tu anasifia bali anawashawishi na wengine wengi waingie humo!
 
I love JF the way it is...
 
Ha ha ha you made my morning!!!!.....whats up mshana...
 
Back
Top Bottom