Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

hacha umbea!!!!!!! hkuna mashiko hapo
 
Wewe una tatizo gani nae kwani? Kwani kama mtu akiamua kumsikiliza wewe inakutatiza nini? This looks personal kabisa
 
Tujaribu kuwa open minded

Mshana anaongea aliyokutana nayo sijajua huo uagent kaupatia wapi Na Lini alikaa Na huyo shetani

Dunia haipo rahisi Kama tunavyoichukulia
Tuwe philosophical zaidi kuliko emotional at least tutaendelea

Well said
 
Yang...kwa uelewa wangu jina lako ni moja ya neno pacha Ying Yang...ambalo siwezi kulielezea maana yake hapa...ukisoma kwa umakini makala za mshana jr na mambo anayopenda kufundisha watu wa aina yako....unagundua kabisa anafundisha sorcerer na evil cult ...ulozi..uchawi..kuwanga na kutembelea kuzimu....kama kuwa open minded is about all that lessons...then ile tafiti...ilitolewa juzi kuhusu...Tanzania kuongoza kwa uchawi na ushirikina Duniani...itakua ya kweli ni sio coocked Research kama ya twaweza...Yang...we ni mmoja wapo...! Na wanaokusifia
 
maishapopote kujifunza na kufahamu ni kitu kimoja na kukubali au kutokubali ni kitu kingine

Unachanganya.......hapo ameshajifunza....amekubali....sasa anaenda kutenda...maana ni muda tu anakuuliza ...alishachanganya mchanganyiko wote
 
Last edited by a moderator:
Unachanganya.......hapo ameshajifunza....amekubali....sasa anaenda kutenda...maana ni muda tu anakuuliza ...alishachanganya mchanganyiko wote

Chakula hakipikwi ili kitupwe itakuwa ni ujuha.. Kila kitu katika maisha kinafanywa au kufanyika kwa lengo au kwasababu maalum
 
Kama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe

Inaonekana ndulele ni kiungo hatari sana kwenye mambo yenu mshana...maana kila mahali ni soo
 
Back
Top Bottom