Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Mleta mada huna point ila unavitu unavyoamini wewe na unataka watu wote waamini hivyo kwa kuwatisha badala ya kutoa point ili waijue kweli na waifate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa lazima ashinde
Kuna uzi alianzisha kuhusu huduma na makanisa ya kipentekoste hapo ndipo nikajua mshana jr ni wakala mzuri wa lusifa.
Tuna wepesi wa kuhukumu bila kutafakari uhalisia wa kile kinachoandikwa, lakini kwakuwa ukweli ninao mwenyewe na Mungu wangu huwa nayachukulia yote Kama mitazamo tuu
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Asante sanaNadhan kama kuna kitu ambacho kinamfanya mtu kuwa mpumbavu na lofa wa kisasa....ni kule kukataa kujifunza kitu kipya...au kutokuwa tayari kuhoji misingi ya imani yako in light of available evidence...!
Kwann uzifuatilie kama ni mbaya??Fuatilia thread zake utafahamu hilo
Duh mwenzetu ushakua maarafu jf kwa kutaja jina la MSHANA JR tu,kesho na Mimi naanzisha uzi wangu kwa kutumia jina hilohilo maana hakuna namna[emoji4] [emoji4] msiniangushe kwa comments zenu wadauAkitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
hata mimi nilikonfemu kua huyu ni agent live,ukiona mtu anachukia makanisa ya kipentekoste ujue anashida.wanajua fire ya hayo makanisa na wanajua hawawezi kukatiza hovyo pale.mimi nilishamshauri ni bora awahubirie watu waokoke waache dhambi
MNANSO zamani sana miaka ya 1980....hivi kulikuwa na kwaya moja mahiri sana ilikuwa na wimbo nilioupenda sana ...ndani ya ule wimbo kulikuwa na mstari huu..Yesu alitoa agizo la kuhubiri injili pote duniani.wewe mshana si ni mkristo? toka mwaka huu umewahubiria watu wangapi habari za Yesu? muda wote unamuhubiri shetani.shauri zako
MILELE AMINANianze kwa suala lako kuwa nipo team moja na Mshana Jr. Wewe huwaelewi watanzania wenzako? Je umesahau sisi ni wale watu ukiwaambia usiguse ndo tunagusa tujue kwa nini umetukataza kugusa? Na huoni post yako ilivyowasogeza hadhira kwa fanani wao?
Pili kuhusu kitabu hicho cha yoga na Mkristu, je ulipata kukielewa au ulimkurupukia mtumishi wa Mungu? Je hukusoma kile cha Imani Katoliki na Dini nyingine?
Mimi ni yogis na Pia ni Mkiristu. Ninafanya yogasanas na pranayama ila sifanyi zile yoga nyingine zinazohusisha miungu ya kihindi.
Neno la Mungu linatuasa tusitwezwe unabii au mafundisho, tuchukue yaliyo mema, tuache yaliyo maovu.
Tumsifu Yesu Kristu.
MNANSO usisumbuke kuhusu kunikumbusha kwakuwa si kwamba sijitambui..ukiniona naandika haya leo ujue ni vitu vilivyokwisha pita...nilivisoma nikavipractise nikaishi navyo for the good ten years...kwasasa sipo huko na ninajua kwa hakika kwanini naandika hayayes,ninayo mengi tuu.je umeshawahi kunionya? wanaonionya hua najirekebisha.sijakuhukumu ila nakukumbusha tuu.