Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mleta mada huna point ila unavitu unavyoamini wewe na unataka watu wote waamini hivyo kwa kuwatisha badala ya kutoa point ili waijue kweli na waifate.
 
Mungu yupo hata wanasayansi wanalijua hilo kuwa Mungu yupo leo ndo wanagundua kuwa Mars ina maji ya chumvi je kama Mars ina maji ya chumvi je inaruhusu kuishi kiumbe jibu hawana ila Mungu na baadhi ya Dini zinajua kuwa hakuna sayari nyingine yenye viumbe mbali ya Dunia.
 
Kuna uzi alianzisha kuhusu huduma na makanisa ya kipentekoste hapo ndipo nikajua mshana jr ni wakala mzuri wa lusifa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna uzi alianzisha kuhusu huduma na makanisa ya kipentekoste hapo ndipo nikajua mshana jr ni wakala mzuri wa lusifa.

Tuna wepesi wa kuhukumu bila kutafakari uhalisia wa kile kinachoandikwa, lakini kwakuwa ukweli ninao mwenyewe na Mungu wangu huwa nayachukulia yote Kama mitazamo tuu
 
Last edited by a moderator:
Tuna wepesi wa kuhukumu bila kutafakari uhalisia wa kile kinachoandikwa, lakini kwakuwa ukweli ninao mwenyewe na Mungu wangu huwa nayachukulia yote Kama mitazamo tuu

Mpaka hapo ni mitazamo. Ila mkumbushe alieanzisha uzi huu ampe kura yake Lowasa ili aweze kuachana na mambo ya watu wengine ambayo hayamhusu
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

hata wewe unapovunja moja ya zile amri za MUNGU tayari wewe ni wakala wa shetani, sasa hebu jipime uko wapi?
 
Asante
Nadhan kama kuna kitu ambacho kinamfanya mtu kuwa mpumbavu na lofa wa kisasa....ni kule kukataa kujifunza kitu kipya...au kutokuwa tayari kuhoji misingi ya imani yako in light of available evidence...!
Asante sana
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Duh mwenzetu ushakua maarafu jf kwa kutaja jina la MSHANA JR tu,kesho na Mimi naanzisha uzi wangu kwa kutumia jina hilohilo maana hakuna namna[emoji4] [emoji4] msiniangushe kwa comments zenu wadau
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Hahahaa pia ni mshauri nzuri sana wa mambo ya magari...
 
hata mimi nilikonfemu kua huyu ni agent live,ukiona mtu anachukia makanisa ya kipentekoste ujue anashida.wanajua fire ya hayo makanisa na wanajua hawawezi kukatiza hovyo pale.mimi nilishamshauri ni bora awahubirie watu waokoke waache dhambi

Yesu alitoa agizo la kuhubiri injili pote duniani.wewe mshana si ni mkristo? toka mwaka huu umewahubiria watu wangapi habari za Yesu? muda wote unamuhubiri shetani.shauri zako
MNANSO zamani sana miaka ya 1980....hivi kulikuwa na kwaya moja mahiri sana ilikuwa na wimbo nilioupenda sana ...ndani ya ule wimbo kulikuwa na mstari huu..
'...Toa upande wa boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. ....'
Hulka ya binadamu ni kupenda kuwanyooshea wengine vidole huku wenyewe wakisahau uchafu na mapungufu yao...naona na wewe umeangukia kwenye mtego huo
 
Nianze kwa suala lako kuwa nipo team moja na Mshana Jr. Wewe huwaelewi watanzania wenzako? Je umesahau sisi ni wale watu ukiwaambia usiguse ndo tunagusa tujue kwa nini umetukataza kugusa? Na huoni post yako ilivyowasogeza hadhira kwa fanani wao?
Pili kuhusu kitabu hicho cha yoga na Mkristu, je ulipata kukielewa au ulimkurupukia mtumishi wa Mungu? Je hukusoma kile cha Imani Katoliki na Dini nyingine?
Mimi ni yogis na Pia ni Mkiristu. Ninafanya yogasanas na pranayama ila sifanyi zile yoga nyingine zinazohusisha miungu ya kihindi.
Neno la Mungu linatuasa tusitwezwe unabii au mafundisho, tuchukue yaliyo mema, tuache yaliyo maovu.
Tumsifu Yesu Kristu.
MILELE AMINA
 
Jambo km waona halikufai ni vyema kuachana nalo na kufanya yanayokuhusu, si jambo jema kumharibia mwingne kwa kuamini mawazo yako na mtazamo wako ni bora zaidi.

Lait km Mshana Jr angekuwa anatoa dawa ya kutibu UKIMWI ungekuwa mtu wa kwanza kuwashawishi watu wamfuate. Lakn kwa sababu anayoyatoa sio choice yako unatoa tafsir na kuyaona mabaya.

!!!!!Think Twice !!!!!!!
 
yes,ninayo mengi tuu.je umeshawahi kunionya? wanaonionya hua najirekebisha.sijakuhukumu ila nakukumbusha tuu.
MNANSO usisumbuke kuhusu kunikumbusha kwakuwa si kwamba sijitambui..ukiniona naandika haya leo ujue ni vitu vilivyokwisha pita...nilivisoma nikavipractise nikaishi navyo for the good ten years...kwasasa sipo huko na ninajua kwa hakika kwanini naandika haya
 
Back
Top Bottom