Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Ndio maana ikaitwaa mitaaandao ya kijamii na kika mtu humu ana dini na dhehebu lake pia wewe kama upendi kujuaa kitu basi nyamaza kimya, wala ujalazimishwa
Na mtu kusoma ni kuongeza maarifa na hata huyo shetani unaayemsema bila kusoma. Au kufuatilia mambo waala usingemjua,
So ndugu yangu ningekushaaulu we fata mambo yako na ubinafsi wako waache watu waliokuwa sio waachoyo wa maarifa waelezee uzoefu wao.
Nawakilishaa.
 
Mi ni ME mkuu!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jamani wengine watu wazima mtatuvunja mbavu. Witnessj? ???[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kusikia tu hi cute ulivyo jihami fast......eti mie ni ME [emoji13] [emoji13] [emoji13] tulia witnessj
 
mshana jr umesikia timbwili la waswahili wa bongo ?
ipo siku Rakims na yeye ataitwa mwanga kwa zile mada zake za astral projection na ninawaza na Idd Ninga nae ataitwa sangoma kwa kufuatilia mada kama kama hizo
hapo sasa nimeamini Waafrika tunamambo kama unga wa ngano.
hallooo
 
Umesahau na pasco sijui ataitwaje manake wabongo🙁🙁🙁
 
naamini kuna misheni anapaswa kuikamilisha huyu anaye zungumziwa hapa. Hata kama anadai aliyapitia aliishi navyo na sasa hayuko tena huko but naamini kuna kitu nyuma ya pazia.

as long as mwenyewe kasema ANAJUA KWANINI ANAANDIKA HAYA MAMBO SASA.
 
nimesoma thread nzima na kila comment na page zake zote. kwakweli nimeishia kuchanganyikiwa. kichwa kinagonga na ninahitaji hedex

#mimi ni yule mwenye kuchukuliwa na kila upepo wa elimu# nipo njia panda
mkuu huyu aliyeleta hii thread kwa hakika kuna uwezekano mkubwa akawa ametumbua jipu.
 
mkuu huyu aliyeleta hii thread kwa hakika kuna uwezekano mkubwa akawa ametumbua jipu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Ubarikiwe kwa kutumbua hilo jipu..
 
Umekua kigagula sikuhizi?
inaonekana ndiyo kazi yake toka zamani ila mwanzoni alificha makucha akijifanya kutoa elimu kumbe anatafuta wateja mwanzoni alinipa shida kumwelewa lakini baada ya kumgundua nikampotezea.

ila huyu jamaa kaamua kutumbua jipu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Nianze kwa suala lako kuwa nipo team moja na Mshana Jr. Wewe huwaelewi watanzania wenzako? Je umesahau sisi ni wale watu ukiwaambia usiguse ndo tunagusa tujue kwa nini umetukataza kugusa? Na huoni post yako ilivyowasogeza hadhira kwa fanani wao?
Pili kuhusu kitabu hicho cha yoga na Mkristu, je ulipata kukielewa au ulimkurupukia mtumishi wa Mungu? Je hukusoma kile cha Imani Katoliki na Dini nyingine?
Mimi ni yogis na Pia ni Mkiristu. Ninafanya yogasanas na pranayama ila sifanyi zile yoga nyingine zinazohusisha miungu ya kihindi.
Neno la Mungu linatuasa tusitwezwe unabii au mafundisho, tuchukue yaliyo mema, tuache yaliyo maovu.
Tumsifu Yesu Kristu.
kwa kukuelewesha tu mzee,Yoga na Meditation ni vitu viwili tofauti,wakristu wa mwanzo hawakuijua yoga,na pia walifanya
meditation kwa maana ya kutafakari kwa kina, sio kutoka nje ya mwili...aka astral blah blah,Yoga inahusiana na Miungu ya kihindi,na Astral Project ni tabia za kishetani na kishirikina za kuuacha mwili kwa roho ya uovu na kurudi...ukiongozwa na shetani....
 
ya ni kweli ndio maana nami nimekushauri ulete mafundisho yanayotuelekeza kwa Mungu ... usiridhike kuona watu wanapote ukaishia kumshutumu anayewapoteza... uamuzi mzuri ni kuwaonesha njia iliyo sahihi.
unachojaribu kukiongea ,ni utoto na haina Mantiki,watu wote hapo wanamtetea Mshanajr wengi ni wenye dini zao,ila kwa kutojitambua kwao wanakua na hamu ya kujaribu jaribu kila kitu,hawa ndio huhama kanisa hadi kanisa wakiwa hawajui hasa wanatafuta nn,mwisho wake wote tunaujua,endelea kuhama dini,Na imani
 
Back
Top Bottom