NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
yeye atakuwa kubwa jamba mkuu,hana adabuInaonekana hili neno umemezeshwa uzeeni..kila thread naona hii comment?!!!..Itakuwa we ndo KJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye atakuwa kubwa jamba mkuu,hana adabuInaonekana hili neno umemezeshwa uzeeni..kila thread naona hii comment?!!!..Itakuwa we ndo KJ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji23]Haaaaaa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jamani wengine watu wazima mtatuvunja mbavu. Witnessj? ???[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kusikia tu hi cute ulivyo jihami fast......eti mie ni ME [emoji13] [emoji13] [emoji13] tulia witnessjMi ni ME mkuu!!
Umesahau na pasco sijui ataitwaje manake wabongo🙁🙁🙁
ktk mazingira kama haya na mafundisho yake kama ndiyo hayo huyo aliyemwita ajenti wa shetani hajakosea.mshana jr ahsante kwa hii dawa ya kumuweka mme kiganjani hivi ulisema mtoni inatupwa usiku au mchana?
mkuu huyu aliyeleta hii thread kwa hakika kuna uwezekano mkubwa akawa ametumbua jipu.nimesoma thread nzima na kila comment na page zake zote. kwakweli nimeishia kuchanganyikiwa. kichwa kinagonga na ninahitaji hedex
#mimi ni yule mwenye kuchukuliwa na kila upepo wa elimu# nipo njia panda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]mkuu huyu aliyeleta hii thread kwa hakika kuna uwezekano mkubwa akawa ametumbua jipu.
Ubarikiwe kwa kutumbua hilo jipu..Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
inaonekana ndiyo kazi yake toka zamani ila mwanzoni alificha makucha akijifanya kutoa elimu kumbe anatafuta wateja mwanzoni alinipa shida kumwelewa lakini baada ya kumgundua nikampotezea.Umekua kigagula sikuhizi?
Teh ngoja akutumbue naweinaonekana ndiyo kazi yake toka zamani ila mwanzoni alificha makucha akijifanya kutoa elimu kumbe anatafuta wateja mwanzoni alinipa shida kumwelewa lakini baada ya kumgundua nikampotezea.
ila huyu jamaa kaamua kutumbua jipu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]inaonekana ndiyo kazi yake toka zamani ila mwanzoni alificha makucha akijifanya kutoa elimu kumbe anatafuta wateja mwanzoni alinipa shida kumwelewa lakini baada ya kumgundua nikampotezea.
ila huyu jamaa kaamua kutumbua jipu.
kwa kukuelewesha tu mzee,Yoga na Meditation ni vitu viwili tofauti,wakristu wa mwanzo hawakuijua yoga,na pia walifanyaNianze kwa suala lako kuwa nipo team moja na Mshana Jr. Wewe huwaelewi watanzania wenzako? Je umesahau sisi ni wale watu ukiwaambia usiguse ndo tunagusa tujue kwa nini umetukataza kugusa? Na huoni post yako ilivyowasogeza hadhira kwa fanani wao?
Pili kuhusu kitabu hicho cha yoga na Mkristu, je ulipata kukielewa au ulimkurupukia mtumishi wa Mungu? Je hukusoma kile cha Imani Katoliki na Dini nyingine?
Mimi ni yogis na Pia ni Mkiristu. Ninafanya yogasanas na pranayama ila sifanyi zile yoga nyingine zinazohusisha miungu ya kihindi.
Neno la Mungu linatuasa tusitwezwe unabii au mafundisho, tuchukue yaliyo mema, tuache yaliyo maovu.
Tumsifu Yesu Kristu.
unachojaribu kukiongea ,ni utoto na haina Mantiki,watu wote hapo wanamtetea Mshanajr wengi ni wenye dini zao,ila kwa kutojitambua kwao wanakua na hamu ya kujaribu jaribu kila kitu,hawa ndio huhama kanisa hadi kanisa wakiwa hawajui hasa wanatafuta nn,mwisho wake wote tunaujua,endelea kuhama dini,Na imaniya ni kweli ndio maana nami nimekushauri ulete mafundisho yanayotuelekeza kwa Mungu ... usiridhike kuona watu wanapote ukaishia kumshutumu anayewapoteza... uamuzi mzuri ni kuwaonesha njia iliyo sahihi.
unachojaribu kukiongea ,ni utoto na haina Mantiki,watu wote hapo wanamtetea Mshanajr wengi ni wenye dini zao,ila kwa kutojitambua kwao wanakua na hamu ya kujaribu jaribu kila kitu,hawa ndio huhama kanisa hadi kanisa wakiwa hawajui hasa wanatafuta nn,mwisho wake wote tunaujua,endelea kuhama dini,Na imaniya ni kweli ndio maana nami nimekushauri ulete mafundisho yanayotuelekeza kwa Mungu ... usiridhike kuona watu wanapote ukaishia kumshutumu anayewapoteza... uamuzi mzuri ni kuwaonesha njia iliyo sahihi.