Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Inakuuma nini wewe???Sorcerer at work...Patner in Evil and Cult Practices....Sick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuuma nini wewe???Sorcerer at work...Patner in Evil and Cult Practices....Sick
Ooops nimekwishaLoops E="Evelyn Salt, post: 13799397, member: 65641"]mshana jr ahsante kwa hii dawa ya kumuweka mme kiganjani hivi ulisema mtoni inatupwa usiku au mchana?
Hakulazimishwa, sijui kwa nini anafuatilia thread za mwenzake. Lakini ukiangalia kwa makini, sijui kwa nini na wewe unafuatilia thread hiiKwani wewe ulilazimishwa kufuatilia thread zake? Acha umbea huo.
Huyo Mshana Ni Maarufu Humu kuliko Hata Waziri wa Elimu
Compliment kama hii kuna watu wakiiona wanachukia mnoMshana Jr, ni one of best JF members, Jamaa ni social, halingi na mwepesi wa kusaidia. Binafsi huwa namuelewa sana japo swala kumuamini au kutomuamini ni UAMUZI WA MTU HUSIKA kutokana na anayoyazungumza
Me nasema na moyo wangu mkuu, let dem hate at their own riskCompliment kama hii kuna watu wakiiona wanachukia mno
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Teh teh teh,kwahiyo unataka kusema Mshana jr anafundisha ulozi??Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Kila ukifa unafufuka tenaHuu uzi bado upo?
!!!!!!!!!!!!!
Ni mtazamo na ushauri mzuri sana Nashukuru[emoji12] [emoji12] ila kwelii wapendwa ukijikita sana kusoma na kufuatilia haya mambo anayoelezea huyu mpendwq mwenzetu mshana sio mazuri haswa ni kama unampatia shetani utukufu nakuomba kwa jina Yesu uache hii tabia mpendwa kama kweli umeamua kumfuata Mungu sahau yote kwa maan umekuwa kiumbe kipya ya kale hayakumbukwi tena hasa ya nn ww kuyakumbka acha hzo mpendwa humu ndan tumetofautia imani na hekima haswa ss vjana nakuhakikshia kuwa aslimia kubwa ya wanafuatlia thread zaki wana kiu na hamu kujua hayi mambo na kuyapractise hvo ndugu kama lengo lako lilikuwa ni kutafuta umaarufu ama kuvuta concentration za watu hyo haina faida kumbuka siku ya mwisho kila mmoja atatoa hesabu ya yote aliyotenda mpendwa tafadhali tafakali na chukua hatua[emoji16] [emoji16]
n mm Ezra a.k.a sniper
Mkuria Mnaa
ila
Mpolee
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
eMtoa uzi fanya jambo moja. Hebu kaa na watu wanaoamini imani tofauti na yako kisha ruhusu wakupe challange juu ya unachoamini kisha wajibu kwa namna unavyojua na kuelewa.. Kisha nawe upate muda wa kuwachallange wao kwa uelewa wako ili wakujibu.
Ktk sherehe ya birthday ya mmoja wa rafiki yangu wa karibu mapema mwaka huu niklikutana na m budha mmoja. Mimi ni m Luteri. Nikataka kujua kidogo juu ya u budha... Ic kiukweli na ki hakika u budha inaweza kuwa ndio dhehebu la kweli ktk imani.
Bahati nzuri nami nauelewa u kristo.... Na kwa kiasi fln naufaham Uislam.. Lkn jamaa alinichambulia juu ya hizo 2 na kuona namna jamaa walivyonyooka.
Ninge weka hapa maswali fulani ili yadiliwe. Lkn nimetoka kusoma sheria za forum.
So mtoa post jaribu kukaribisha challenge kichwani kwako.
Sio kulialia
W
e
Mkuu weka maswali hapa kwa kufungua thread mpya...hiyo itanoga sana
TafutA njia sahihi bado ni mwana mpotevuhata mimi nilikonfemu kua huyu ni agent live,ukiona mtu anachukia makanisa ya kipentekoste ujue anashida.wanajua fire ya hayo makanisa na wanajua hawawezi kukatiza hovyo pale.mimi nilishamshauri ni bora awahubirie watu waokoke waache dhambi