Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Kwani wewe ulilazimishwa kufuatilia thread zake? Acha umbea huo.
Hakulazimishwa, sijui kwa nini anafuatilia thread za mwenzake. Lakini ukiangalia kwa makini, sijui kwa nini na wewe unafuatilia thread hii
 
Huyo Mshana Ni Maarufu Humu kuliko Hata Waziri wa Elimu

Hiyo inadhihirisha jinsi Watanzania walio wengi bado ni wajinga kiasi hawaelewi kopi na pesti za mtandaoni zilivyo. Na wengi wao huamini ujinga kwa kuwa tu ndivyo walivyofundishwa mashuleni mwao.
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

usikariri kila uambiwalo kwenye nyumba za dini au viongozi wa dini ni sahihi, hekima na busara ni kutafuta elimu popote ilipo ili uwe na maamuzi sahihi nasio kukomalia vitu ambavyo hata ukiulizwa huna majibu yake. Maisha ni kujifunza na ili uwe muumini na mcha mungu mzuri ni lazima utambue uovu na uongo wa imani nyinginezo
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Teh teh teh,kwahiyo unataka kusema Mshana jr anafundisha ulozi??
 
[emoji12] [emoji12] ila kwelii wapendwa ukijikita sana kusoma na kufuatilia haya mambo anayoelezea huyu mpendwq mwenzetu mshana sio mazuri haswa ni kama unampatia shetani utukufu nakuomba kwa jina Yesu uache hii tabia mpendwa kama kweli umeamua kumfuata Mungu sahau yote kwa maan umekuwa kiumbe kipya ya kale hayakumbukwi tena hasa ya nn ww kuyakumbka acha hzo mpendwa humu ndan tumetofautia imani na hekima haswa ss vjana nakuhakikshia kuwa aslimia kubwa ya wanafuatlia thread zaki wana kiu na hamu kujua hayi mambo na kuyapractise hvo ndugu kama lengo lako lilikuwa ni kutafuta umaarufu ama kuvuta concentration za watu hyo haina faida kumbuka siku ya mwisho kila mmoja atatoa hesabu ya yote aliyotenda mpendwa tafadhali tafakali na chukua hatua[emoji16] [emoji16]
n mm Ezra a.k.a sniper

Mkuria Mnaa
ila
Mpolee
 
Ni mtazamo na ushauri mzuri sana Nashukuru
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Mtoa uzi fanya jambo moja. Hebu kaa na watu wanaoamini imani tofauti na yako kisha ruhusu wakupe challange juu ya unachoamini kisha wajibu kwa namna unavyojua na kuelewa.. Kisha nawe upate muda wa kuwachallange wao kwa uelewa wako ili wakujibu.

Ktk sherehe ya birthday ya mmoja wa rafiki yangu wa karibu mapema mwaka huu niklikutana na m budha mmoja. Mimi ni m Luteri. Nikataka kujua kidogo juu ya u budha... Ic kiukweli na ki hakika u budha inaweza kuwa ndio dhehebu la kweli ktk imani.

Bahati nzuri nami nauelewa u kristo.... Na kwa kiasi fln naufaham Uislam.. Lkn jamaa alinichambulia juu ya hizo 2 na kuona namna jamaa walivyonyooka.

Ninge weka hapa maswali fulani ili yadiliwe. Lkn nimetoka kusoma sheria za forum.

So mtoa post jaribu kukaribisha challenge kichwani kwako.
Sio kulialia
 
W

e
Mkuu weka maswali hapa kwa kufungua thread mpya...hiyo itanoga sana
 
Binafsi namkubali sana Mshana Jr mitizamo yake hasa inayohusu uzalendo,Kama yupo hivyo atajua yeyevingawa kiimani tunaambiwa,chukua jema hata kama linatoka kwa shetani
 
W

e
Mkuu weka maswali hapa kwa kufungua thread mpya...hiyo itanoga sana

Sawa.. Lkn nadhan utakuwa umeelewa nini namaanisha.

Ili ujijue lzm ujulishwe..
Ili ufahamu lzm ufahamishwe..
 
hata mimi nilikonfemu kua huyu ni agent live,ukiona mtu anachukia makanisa ya kipentekoste ujue anashida.wanajua fire ya hayo makanisa na wanajua hawawezi kukatiza hovyo pale.mimi nilishamshauri ni bora awahubirie watu waokoke waache dhambi
TafutA njia sahihi bado ni mwana mpotevu
 
Back
Top Bottom