Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Mkuu despite hizi comments za kukupinga, I applaud you for your courage and honesty. Usijali wengi wao, kuwa happy kwa wale wachache waliobadilika for this useful thread. Be blessed.
 
mshana endelea ku2juza mengi zaid kuhusu ulmwengu huu. kuna wa2 wanaamin kuwa wao wanavyoamin na mfumo wanaou2mia kuamin ndio bora zaidi, kumbe kuna wengne wanaamin tofaut na wanaona wako sawa kabsa, chamuhm kuvumiliana na ku2mia busara kuelmishana na kusaidiana kiiman. mwisho wa siku KILA MTU ATAHUKUMIWA SAWA SAWA NA MATENDO YAKE ALYOTENDA DUNIAN
 
Amani iwe nanyi.

Shetani yuajua hana muda hivyo hutumia muda wa watu wengi duniani. Ni kama anafanya biashara ya kukopa muda wa watu. Watu wengi wamejikuta wakimkopesha huyu kiumbe ambaye ni made in heaven wasijue muda haufidiwi.

Kuna watu wengi humu hutumika kwa namna mbalimbali katika masuala mbalimbali yawe yakijamii, Kiuchumi, burudani, n.k. Hutumika iwe kwa kujua au kwa kutokujua.

Watu hao ukiwafuatilia kwa ukaribu hutoshindwa kugundua roho zao zilivyoingiliwa na ugeni kutoka kuzimu.

Kwa wale wenye sura nyuma na mbele, tunaoona nyuma na mbele pasi na kugeuza vichwa vyetu. Tuliwajua tokea Zamani.

Wale wenye vidole sita kwa kila mkono, milango saba ya ufahamu katika ukamilifu wake, Roho kubwa katika mwili dhaifu tumewatambua tokea kuumbwa kwao.

Jihadhari na Mafundisho yao, usijitie kupenda Simulizi zao nyingi za kubuni huku wakizipigia debe kwa marejeo ya kila namna. Angalia sana watu hao hupenda mafundisho ya kuzimu, kuzimu wasiko kujua.

Hupenda mada hizi;
1. kutaka kujua chanzo cha Mungu
2. Kupinga uwepo wake
3. Kusifia dini Fulani
4. Kushabikia propaganda za kimagharibi wasizoweza kuzithibitisha.
5. Kuelezea hadithi za uongo za ulimwengu wa kiroho kama uchawi, majini,
6.Kuelezea habari za Uongo za Ushoga na Usagaji na kuonyesha kufurahishwa na mambo hayo kwa mbali huku kwa ukaribi wakijifanya wanaupinga.
7.Hupenda kujua miisho ya dunia.

Kwa hakika watu hawa wamepotoka, hujizoeza kusimulia mambo wasioyajua na hata anaye watumia hawamjui.

Jihadhari na Hawa Watu na aina za watu kama wao.

Mshana Jr
Mzizimkavu
Free Idea
Kiranga n.k

Watu hawa ni wakuwaombea maana hupenda kuelezea hadithi zilizopo kichwani mwao na kwa wale waliowahadithia.
 
d13cbb482caa7fa01fce1d3ff877dd12.jpg
 
inawezekanaje hiyo...mi nawatahadharisha watu ...wasimfuate...wewe unasema kanitumia jini....nimpe promo...sasa huoni we ukop nae team moja...mnaabudu makitu ya ajabu wakati MUNGU wa kweli yupo?
Mungu wa kweli ni yupi MUNGU WA ABRAHAM!! MUNGU WA ISAKA!! MUNGU WA YAKOBO!!! AU MUNGU YUPI
 
asome Masomo ya Kiroho yapi hayo ambayo hutaki kuyainisha Hapa,Be straight mwambie akitaka kuelewa Wema wa MUNGU asome BIBLIA.....Period,acha uchawi wako hapa,Wapare bana!

Kwa hiyo masomo ya kiroho NI bibilia tu.Dini ziko nyingi sana kila mtu anachagua inayo mfaa
 
Back
Top Bottom