Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Aisha nisaidia baadhi ya vitu, sijaona hayo unayoyasema, bado namtafuta ni vile nilipoteza no yake na DM yake ndiyo kaiminya ila namtafuta kwa msaada zaidi
 
maishapopote kwanza nikupongeze sana kwa kutoa dukuduku lako ikiwa ni mtazamo wako kwangu kuhusiana na mada zangu
Najua ni una mengi zaidi ya kuandika kunihusu mimi na mada zangu na mambo yote yanayohusiana nazo...nitapenda kuwa bega kwa bega nawe Katika kueleweshana na kujuzana kwa uwazi na kwa mifano stahili huku tukitumia nukuu na lugha za kistaarabu
Naomba ushirika wako wa Karibu Katika hili kwa manufaa ya jukwaa
Mchawi mstaafu huyo.
 
Back
Top Bottom