Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Maisha ni kitabu cha hadithi,kitasimuliwa kama kitakavyoandikwa na muhusika,,naona simulizi yako inaanza kupendeza ingali mauti haijashinda...maana wengi simulizi huwa za kuvutia baada ya mauti kushinda...hongera kaka
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎAsante sana dada
 
Angalizo, msiingie wazimawazima kwa huyu mtu, kwanza ni Buddhist, na kwa maneno yake Buddhist Wana mahusiano mazuri na Satanist, na amewahi kwenda kwenye ibada za makafara ya watu kwenye hekalu la Satanist,

Huyu pia ni mganga na mlozi ( post zake zipo humu). Neno lenyewe mshana ni dawa za kienyeji za wahaya, wanaweka kwenye chai, Namheshimu Kama binadamu, Ila upande wa giza ni hatari. Jipelekeni
 
Tuambie ukweli hayo maongezi ya masaa matatu hamkununua kile kinywaji mshana anapendelea?
 
Hahahaha 🀣
 
Nikajua ni ushuhuda wa kuogea chumvi kumbe ni mambo ya ushauri wa kisaikolojia?!
Jambo jema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…