Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Nadhani limit ya likes ni tano (5) kwa kila post maana baada ya likes tano unapata tu notification lakini likes haziongezeki
 
Hongera sana Mshana Jr na wengine tuna cha kujifunza kwa nini anapata likes nyingi, tusione wivu tupate ushauri
 
Likes nyingi kuna mawili yaweza kuwa ni kiashilia cha kuonesha namna muhusika anatumia mda mwng humu au anapost vitu vya maana sana....so wahusika wajiulize wapo kundi.....mwanamazingaombwe kaoongoza kwa likes...hongera kwake
 
I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...

nafikiri accuracy yake sio kubwa

kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....


Umenena mkuu... Bado sijaelewa Trophy inatolewa kwa vigezo gani.
 
Back
Top Bottom