Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Nadhani limit ya likes ni tano (5) kwa kila post maana baada ya likes tano unapata tu notification lakini likes haziongezeki
 
Hongera sana Mshana Jr na wengine tuna cha kujifunza kwa nini anapata likes nyingi, tusione wivu tupate ushauri
 
Likes nyingi kuna mawili yaweza kuwa ni kiashilia cha kuonesha namna muhusika anatumia mda mwng humu au anapost vitu vya maana sana....so wahusika wajiulize wapo kundi.....mwanamazingaombwe kaoongoza kwa likes...hongera kwake
 
BTW, nna post 158 na likes 168.....168/158*100= 106%


Mimi nina 33%......
Posts 1621
Likes 621

Sina mpinzani ingawa ni underground & kapuku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 


Umenena mkuu... Bado sijaelewa Trophy inatolewa kwa vigezo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…