Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mimi mpaka sasa huwa simwelewagi kabisa huyu jamaa!
Cjui anafanya kazi gani hasa..!,,
Hahahaha walipeni basi
 
List inatakiwa iwe fair ....hakuna mtu "kujitoa" au kuondolewa ht kwa kuomba......
Itakuja kuleta shida 1 day

Cc Invisible

na ihusishe watu wote...iwe automatic...
sio mara huyu yupo huyu kajitoa yule kaondolewa
 
na ihusishe watu wote...iwe automatic...
sio mara huyu yupo huyu kajitoa yule kaondolewa
Full magumashi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mshana jr lazima apate likes nyingi coz mada zake nyingi zinaufanya ubongo ufikiri mno
Dokta Chriss kuna watu ukisema hivi wanapata uchizi kabisa ujue!unaweza kuitwa majina yote mabaya...hawapendi kabisa kusikia haya maneno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…