Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mshana Jr amekuwa na post za kufikirisha,kuelimisha,na zingine kuonya jamii...MF Suala LA malezi ya watoto ni nzuri sana...pia amekuwa na post zenye utata mwingi kiasi cha kufikiriwa kuwa ni mchawi na mshirikina..ila kwa mwenye uelewa hawezi hukumu..binafsi nampongeza sana kwa Mada zake ni nzuri sana
Mimi mpaka sasa huwa simwelewagi kabisa huyu jamaa!
Cjui anafanya kazi gani hasa..!,,
Hahahaha walipeni basi
 
List inatakiwa iwe fair ....hakuna mtu "kujitoa" au kuondolewa ht kwa kuomba......
Itakuja kuleta shida 1 day

Cc Invisible

na ihusishe watu wote...iwe automatic...
sio mara huyu yupo huyu kajitoa yule kaondolewa
 
Mshana jr lazima apate likes nyingi coz mada zake nyingi zinaufanya ubongo ufikiri mno
Dokta Chriss kuna watu ukisema hivi wanapata uchizi kabisa ujue!unaweza kuitwa majina yote mabaya...hawapendi kabisa kusikia haya maneno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom