kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
hakuna uchawi hapa ni ubunifu tu na kuwa na taaluma na unachokipost au kuchangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa.Tunakusubiri kule
Haina kwerePoa poa.
Nikiwa fresh nitakustua mrembo
Mimi mpaka sasa huwa simwelewagi kabisa huyu jamaa!Mshana Jr amekuwa na post za kufikirisha,kuelimisha,na zingine kuonya jamii...MF Suala LA malezi ya watoto ni nzuri sana...pia amekuwa na post zenye utata mwingi kiasi cha kufikiriwa kuwa ni mchawi na mshirikina..ila kwa mwenye uelewa hawezi hukumu..binafsi nampongeza sana kwa Mada zake ni nzuri sana
Hahahaha walipeni basi
Itakuwa tech ya aina yake hiiAu tukiweka likes kwako zinahamia kwa Mshana?
Ni kweli kutakuwa na errors.
Tuamini hizo errors ziko constant, ili matokeo yasibadirike. Binafsi ningekupa namba 1.
Ha ha haa, tisha mshana!Itakuwa tech ya aina yake hii
Hata mi nimeshangaa...Kaondolewa au sijui kaomba kutolewa..
naona Evelyn Salt ndie anaongoza now
Hata mi nimeshangaa...
Ngedere haonekani kwenye list
Kwani ni waondolewe....hujuma_?list ina watu wengi wanaostahili kuwepo wameondolewa
imekuwa haina maana sasa
Full magumashi....na ihusishe watu wote...iwe automatic...
sio mara huyu yupo huyu kajitoa yule kaondolewa
Dokta Chriss kuna watu ukisema hivi wanapata uchizi kabisa ujue!unaweza kuitwa majina yote mabaya...hawapendi kabisa kusikia haya maneno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana jr lazima apate likes nyingi coz mada zake nyingi zinaufanya ubongo ufikiri mno
Ana simulizi za kichawi na uganga mwingi ambao wabongo wanautumiaMshana jr lazima apate likes nyingi coz mada zake nyingi zinaufanya ubongo ufikiri mno