Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

kwangu haiko hivyo
nilipata trophy kwa likes kama 20
halafu kuna post napata like zaidi ya 70 sioni trophy ndo nashangaa..
i believe kuna errors....
Ni kweli kutakuwa na errors.
Tuamini hizo errors ziko constant, ili matokeo yasibadirike. Binafsi ningekupa namba 1.
 
Chief hongera
 
Ukitaka likes Tanzania na duniani kokote ongelea mapenzi.
Ila kwa Africa ukitaka likes sana ongelea mambo ya kichawi na hiyo ndio fani ya mshanajr, jamaa anapenda sana uchawi, wabongo wengi nao ni full uchawi yaani hadi aibu. Japo anachoongea mara nyingi ni uongo sema binadamu siku zote wanapenda kuambiwa kua wanachokiamini ni kweli simply because its fascinating na hawawezi kukielezea, hapo ndipo mshanajr anawakamata vizuri
 
OmG,yaani nimempita mkuu Watu8 kwa likes?mkuu em rudia research yako duh...jama msichoke name kunitupia tupia tulike na mie siku moja nionekane star humu(kidding).
 
Asante sana mkuu!

Nadhani proportion ni nzuri zaidi kuangalia yupi ana like nyingi. Lakini pia nayo ina athari zake. Mfano mimi ninaweza nikawa nina post 1 na like 1. Hivyo nikifanya proportion ya likes kwa idadi ya msg nilizo post itakuwa 100%. Nikiwa nina post 2 na likes 1, nitakuwa nina likes kwa asilimia 50%! Unaona percentage inavyokuwa affected kirahisi panapokuwa na post chache. Hivyo inakuwa sio fair nikilinganisha mtu mpya kama mimi na mtu mwenye posts elfu 50. Hii itakuwa ni sawa na kulinganisha shot conversion rate ya Marcus Rashford kwa mechi mbili za kwanza alizocheza vizuri, na Aguero ambaye amecheza mechi nyingi. Ukifanya hivyo Rashford ataonekana ana conversion rate kubwa zaidi ya Aguero.

Kwa hiyo hizo proportion za likes zinawahusu wachangiaji ishirini bora wa JF wanaopatikana hapa Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers na hivyo kutowalinganisha na wachangiaji wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…