real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
kweli, hii list yake ina mapungufu sanaUmepambanisha old school na new school, hujatenda haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli, hii list yake ina mapungufu sanaUmepambanisha old school na new school, hujatenda haki.
Nimewatoa hapa mkuu.kweli, hii list yake ina mapungufu sana
Ni kweli kutakuwa na errors.kwangu haiko hivyo
nilipata trophy kwa likes kama 20
halafu kuna post napata like zaidi ya 70 sioni trophy ndo nashangaa..
i believe kuna errors....
Chief hongeraI believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...
nafikiri accuracy yake sio kubwa
kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....
Upo vizuriiii na huyu miss chagga navunjika mbavu nkiwasoma,siwachokiMshana anatumia ndumba ukimuona tu lazma ulike lol
Mleta thread sijui umewaza nini eeh haya
Take it easy labda keshokutwa...hahahMimi mbona hujaniweka humu? na nna like nyingi kuliko baadhi ya uliowaweka hapo
Nenda jukwaa "lileee"Utazipata...Naombeni likes jamani
Hahahhahaha...bas ntarudumenikimbia kule
kweli 'nakuogepesha'
Asante sana mkuu!Karibu sana JF...
Vigezo vilivyotumika ni vipi kwenye hizo takwimu zako?
Unaweza kukuta mwana JF ana posts 30,000+ na Likes 2,000+. While kuna mwana JF mwingine anaweza kuwa na posts 1,000+ na Likes 500+.....ukizichanganua hizo takwimu unaweza kupata namba halisi ya hoja yako husika mkuu. Unless otherwise unaongelea total posts digits.
nimeicheki mkuu, ila ina mapungufu kibaoNimewatoa hapa mkuu.
Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Likenikupe ngapi....
Sio mganga wa kienyejiAlifaa kuwa mwalimu wa mazingaombwe