mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Nimeingia juzi ila nina like 91 wakuu mabibi na mabwana naombeni like zenu ... Umoja ni ushindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
za kwenye jukwaa la wakubwa hazikutoshi?Naombeni likes jamani
nami nakubali sana mchango wako mkuu lutila, ila ilo jina lako la kwanza niKuna wengine humu LIKE zetu zilipotelea hewani baada ya Marekebisho mapya ya JamiiForums huwa sielewagi zilikwenda wapi?....Ila naamini jamiiforums kuna kale katabia ka kwenye magroup ya whatsapp au Facebook wanaangalia kapost nani?...Ila hizi LIKE hazitupi Shibe kikubwa hapa ni UZIMA TU.
Hhahhahaha.....zile naona hazinitoshi.za kwenye jukwaa la wakubwa hazikutoshi?
Ukawa hawapewi likes, over!Yericko nyenyere hayumo
Ben Saanane umepita hapa?Ukawa hawapewi likes, over!
Na hivi siku hizi umekua SISTER MARIA.....Hhahhahaha.....zile naona hazinitoshi.
Zote kabeba mwenza Evelyn Salt