Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Ivi unashangaa nn kwa mtu aliyetukuka kwa uchawi na ulozi kupata likes nying?? Yale anayoyaleta huku kama maada ni nadharia na practicals ujue anafanya
 
Ukitaka likes Tanzania na duniani kokote ongelea mapenzi.
Ila kwa Africa ukitaka likes sana ongelea mambo ya kichawi na hiyo ndio fani ya mshanajr, jamaa anapenda sana uchawi, wabongo wengi nao ni full uchawi yaani hadi aibu. Japo anachoongea mara nyingi ni uongo sema binadamu siku zote wanapenda kuambiwa kua wanachokiamini ni kweli simply because its fascinating na hawawezi kukielezea, hapo ndipo mshanajr anawakamata vizuri
Na ukitaka komenti chache tu achana na na likes tu andika ishu za kiteknolojia mfano tujifunze kutengeneza software unaweza ukakuta wiki nzima kuna likes 2 na replies 13.
 
OmG,yaani nimempita mkuu Watu8 kwa likes?mkuu em rudia research yako duh...jama msichoke name kunitupia tupia tulike na mie siku moja nionekane star humu(kidding).
Hapo wameangalia notable members wale wenye post nyingi humu jf.
 
Mtoa mada ur not fair mm kuanzia mtu wa 17 nimempita kwa likes tutendee haki money bag mchango wng utambuliwe
 
Back
Top Bottom